Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
🤣🤣🤣 jamani si mmeliona wenyewe hili pumbavu.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na nyie ni fukara na hamjui English, boss try to apply logic and critical thinking angalau., was trying to break your fallacious mentality., unadhani nyie ni kama China in relation to development kwa vile hamjui kizungu idiocy on steroids 🤣🤣🤣🤣
Sio mishahara tu Kuna kitu oc kinatumwa Kila mwez kwenye taasisi hata siku moja hakikosekani sembuse mishahara.Hawana Cha maana wanajitapa na vigorofa uchwara tu.
Ulidhani mie naongea uongo kaka!?
Waje wabishe kama naongopa.
Taifa lenye uchumi unashindwa kujitosheleza kimishahara katika sekta yako ya umma!?
Huo uchumi wa dizaini gani!?
Bongo haijai tokea mishahara ikachelewa achia mbali kukosekanika kama Kenya.
Ikichelewa labda baadhi ya watumishi na huwa ni tatizo la mtandao katika kuingiza huo mshahara na haipiti wiki.
Kiingereza ni usomi 🤣🤣🤣🤣 waambie twende tujadiliane hesabu🤣🤣🤣 jamani si mmeliona wenyewe hili pumbavu.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani unabishana hadi unasahau ni nini unabishana, unaendelea kuharibu tu.Alichapisha baada ya kupokea kichapo because he had nothing to lose. This is just one case, Kuna wengi wanaogopa kuchapisha ju wanaogopa kupigwa ama kudhulumiwa.
Kwahiyo English ndo inakufanya uwe msomi, ndo maana mnaendelea kuibiwa tu, usomi ni pamoja na kujua kuiba bila kelele.Na nyie ni fukara na hamjui English, boss try to apply logic and critical thinking angalau., was trying to break your fallacious mentality., unadhani nyie ni kama China in relation to development kwa vile hamjui kizungu idiocy on steroids 🤣🤣🤣🤣
Kama hamfichi umaskini na aibu, basi niambie alipigwa kwanini?Yaani unabishana hadi unasahau ni nini unabishana, unaendelea kuharibu tu.
It's the other way around, if it's quiet, it means we're doing the bid and being compliant.Is it abo
Is it about NGOs really!.., so if there wasn't any voice from the mentioned countries and some entities in Kenya or elsewhere raised an environmental concern, so ina maanisha according to you it's an indication eti mko vizuri?., ama ?🤔
Wanahana? I thought watu wa Dar wanamiliki ardhi wanazaiishi ndani? Tena wanahama zinageuka viwanda? What a bunch of desperados we have here!Huko keko watu wanahama linageuka kuwa eneo la viwanda.
Ameficha na picha za wanafunzi amepost! Hapo kaficha nini?Kama hamfichi umaskini na aibu, basi niambie alipigwa kwanini?
Za wahindi na waarabu🤣🤣🤣Hujui hizo Barabara ni za foreigners?😂
Asa wewe una ujanja gani.? Heb tuanzie hapo. 🤣🤣🤣🤣 haujui kiswahili na kiingereza pia hujui. 🤣🤣🤣 wewe ni kama mzuka pande zangu.Maumivu haya🤣🤣🤣🤣., unataka kila mtu awe boya kama wewe eti🤣🤣🤣🤣🤣.,
Sasa kama mtu kanunua eneo na anataka kufanya expansionWanahana? I thought watu wa Dar wanamiliki ardhi wanazaiishi ndani? Tena wanahama zinageuka viwanda? What a bunch of desperados we have here!
Jibu swali, alipigwa kwanini?Ameficha na picha za wanafunzi amepost! Hapo kaficha nini?
Name them, weka evidence propagandist.., it's in the public domain tuone ni akina nani., who can stop global banks from financing such a project ., ujinga mzigo
So in Dar es salaam a residential area can become an industrial zone overnight? Yani all of a sudden watu na viwanda pua na mdomo?Sasa kama mtu kanunua eneo na anataka kufanya expansion
Wewe uliyepost picha tupe taarifa kamili kwanini amepigwa, lete habari kamili sio kichwa cha habari.Jibu swali, alipigwa kwanini?
Nani alikuambia English ama kujua lugha ile yeyote ndio kigezo cha usomi kilaza, ni wewe unasema sio mimi.., hapa sio issue na lugha Wala nini., ujinga wenu ni wa ukoo., na nyie kuto jadiliana na mataifa mengine mitandaoni mbali na Kenya ni kwa sababu ya language barrier, that was the context, usipotee njia tena kilaza..,Kwahiyo English ndo inakufanya uwe msomi, ndo maana mnaendelea kuibiwa tu, usomi ni pamoja na kujua kuiba bila kelele.
Mna GDP ya 130bil usd mmetuzidi kwa almost 50% ila mkija kwenye revenue collection mmetuzidi 1.6tril ambayo hazifiki hata 10 % tukiwambia hamna kitu mnaona tunawaonea usomi wenu ni kwenye maneno maneno🤣🤣🤣🤣na matusi
Chuki hapo pekee ni Moja. Kenya vs Tanzania. Hizi zingine ni wishful thinking. For instance here is what Nigerians think of Kenya. They actually prefer Kenya over Tanzania. Shida yenu mkichukia mtu mnadhani atachukiwa na Kila mtu.😂😂😂Labda tukianza tu kwenye chuki kati ya Kenya na Tanzania nani anaongoza kwa kuwa na chuki na majirank zake?
Tukija kwenye mitandao tu Kuna chuki kati
Kenya versus Nigeria
Kenya versus Uganda
Kenya versus tanzania
Kenya versus Sudan
Actually ni karibia Kila nchi mnaugomvi nazo
Haya tutajie Tanzania Ina ugomvi na nchi gani