Unajitetea lakini hamna point🤣🤣🤣 haubadilishi ufala wenu, poleni, mtapona siku moja, usilie mwanangu, sio makosa yangu, have just pointed out a few issues, sijagusa ya ndani, nawajua kila sehemu.,KUna taifa bingwa la machawa kama Kenya. Mijaluo maisha yao yote imetumia kupambania maisha ya Raila Odinga hadi inamuita Baba.
Huo ni ujuha FIRST CLASS.
Tuna ufukara wa viwango vyetu. Kenya siyo fukara, ila ni HOHE HAE, mabo hata kilo ya unga wa Dona ni ANASA.
KENYA mna uhuru gani wa kujieleza??
Kubweia bweia online kwasababu una njaa na huna altenative ndio uhuru wa kujieleza???
Hapa huoni watoto walikuwa wanacheza kwenye vumbi.
Inaonekana hata hukucheza utotoni.
Yaani watoto wana viatu, uniform na sweaters unaita masikini??
Huko.kwenu mnaotembea bare feet mnaliwa na FUNZA, hohe hae, 200%
Unajipa umuhimu sana kaka braza.CCM kwa kiasi kikubwa wana sera na mikakati mizuri, tatizo ni nani ameshikilia mpini, na kama ameshikwa mikono na ma globalist.
Ukitaka kujuwa tuko vipi, angalia magazeti kama Reuters, Political, NYtimes, the Dailymail na hata magazeti ya Kenya (the mouthpiece of the globalists in EA, hello Teargass, NairobiWalker), yanasema nini kuhusu Tanzania. Ukiona yanaponda sana sera za maendeleo basi juwa tupo vizuri, ukiona wanatupotezea juwa tumeliwa.
Makondoo nyie., utapona mwanangu., inauma najua, nimefungua kidonda, usifunike wacha ikauke ipone., stop running away from the truth, embrace it and correct., mtakwepa hadi lini?.., jiangalie!!🤣🤣🤣🤣🤣Haha nani aende akafanye KAZI za uyaya Saudi Arabia ebu tafuta mtanzania yoyote aliyekwenda kufanya kazi za uyaya Dunia hii, ndo maana tunawashangaa eti waje Kenya😝😝🤣🤣
Nyinyi ni maskini na hilo halikwepeki we Karne hii bado mnasumbuliwa na jiggers kweli Ina maana viatu hamvai.
View: https://youtu.be/02ITlL4Aj4s?si=djT1ZcClSgmhuvJ0
Sasa kunguni SI ndo itakuwa balaa
As if bongoslum hakuna jiggers. Ushawai fika Kigoma? 🤣🤣
Sisi hatuhitaji kukombolewa maana tayari tunajitambua na ndio maana unaona Kila mtu Yuko busy na KAZI zake na hii utaiona kwenye level za exports , wakati nyinyi mkiwa na 8bil usd sisi tuko 15usd bil. Almost mara mbili kasoro.Ukweli imekuuma, pole sio makosa yangu, mko mlivyo, haubadilishi lolote ata useme nini🤣, tunawaombea mtakombolewa sio mda marefu, usife moyo, pengine vitukuu vyako vitaona jua, nyie mmekomaa kwa giza🤣
Unajua nini??Unajitetea lakini hamna point🤣🤣🤣 haubadilishi ufala wenu, poleni, mtapona siku moja, usilie mwanangu, sio makosa yangu, have just pointed out a few issues, sijagusa ya ndani, nawajua kila sehemu.,
Hizi picha nilizipiga Mikocheni. Mtaa wao wa Kifahari. Hello instanbul msee wangu wa horizontal infrastructure.😂Did you mention water and sewer system ndani ya hizo nyumba?🤣🤣🤣🤣
Yani wewe mtu hujui hata sewer system inakaaje unatoa wapi nguvu ya kumention mambo sewerage system? Mibongolala wa Dar hutumia pit latrines
View attachment 3333153
And you also said proper roofs? Kwamba these are proper roofs? Hizi hapa?🤣🤣🤣View attachment 3333148View attachment 3333149View attachment 3333150View attachment 3333151View attachment 3333152
Just like most of you here, you have to find solace in Kibera everytime you are cornered. It's just 2.5 square kilometers, way too small to compare with your sprawling uswazi hovels that cover your entire cityscape
Ndio maana kila siku wako Busy, Nairobi. NAIROBI.Nyumba zao nyingi vijijini ziko hivi.
View: https://x.com/osama_otero/status/1885581535593562119?s=46
Hehe kigoma in a udongo mwekundu na hakuna infection kama zenu na huwez Kuta mtu Yuko infected kama kwenu mpaka miguu inapasuka, hiyo ilikuwepo miaka 20 nyuma ila nyinyi mpaka Leo hakuna.As if bongoslum hakuna jiggers. Ushawai fika Kigoma? 🤣🤣
Muulize wanajikomboa lini kwenye huu ujinga. 😂😂😂Sisi hatuhitaji kukombolewa maana tayari tunajitambua na ndio maana unaona Kila mtu Yuko busy na KAZI zake na hii utaiona kwenye level za exports , wakati nyinyi mkiwa na 8bil usd sisi tuko 15usd bil. Almost mara mbili kasoro.
Ukija Tanzania hukuti kesi za funza popote hiyo tushatokana napo ila nyinyi bado mna mpaka national jiggers day.
🤣🤣🤣🤣
Tushaondokana na tribalism nyinyi ndo kwanza mko nayo
Hujui hizo Barabara ni za foreigners?😂Maendeleo ni Nairobi tu! Walisikika Mibongolala wakijiliwaza 🤣🤣🤣
Wajikomboe wapi ? Hapo atahangaika kwenda kutukana Hana hoja hawa ni mamaid wa Dunia ,🤣🤣🤣🤣( slaves)Muulize wanajikomboa lini kwenye huu ujinga. 😂😂😂
View: https://youtu.be/ZGhacWFBudU?si=iuElbvT6aLC4XmfU
Building houses is so cheap for Tanzania , ngoja kwanza tu deal na vitu vikubwa kama tunaweza jenga sGR na kununua ndege , low cost housing scheme ni project rahisi sanaIn 5 years the only slums in the region will be in bongoslum tangagiza 😂 😂
15,000+ units, housing like 50,000 people.
View: https://x.com/FauzKhalid/status/1921240610414973387
This reasoning is so pedestrian for someone like you🤣🤣🤣., umeshuka level ya akina The best 007 na Sama boy 255 and the team 🤣🤣🤣🤣🤣, hizi ndio fikra zao, zero logic and critical thinking., man this is outright fallacy🤣🤣, eti wakiponda sera za maendeleo mko vizuri how? What areas have Tz critiques pointed out? Can u put forth an example of a news criticizing your devt? if such happens it's relative, it can mean different things, not necessarily eti mko vizuri, boss🤣🤣🤣🤣., I agree CCM has sera na mikakati mizuri, but mostly it's on paper.,CCM kwa kiasi kikubwa wana sera na mikakati mizuri, tatizo ni nani ameshikilia mpini, na kama ameshikwa mikono na ma globalist.
Ukitaka kujuwa tuko vipi, angalia magazeti kama Reuters, Political, NYtimes, the Dailymail na hata magazeti ya Kenya (the mouthpiece of the globalists in EA, hello Teargass, NairobiWalker), yanasema nini kuhusu Tanzania. Ukiona yanaponda sana sera za maendeleo basi juwa tupo vizuri, ukiona wanatupotezea juwa tumeliwa.
Just because you hide it haimasnishi hakuna. Nyinyi tunawajua Kwa kuficha umaskini na aibu.Hehe kigoma in a udongo mwekundu na hakuna infection kama zenu na huwez Kuta mtu Yuko infected kama kwenu mpaka miguu inapasuka, hiyo ilikuwepo miaka 20 nyuma ila nyinyi mpaka Leo hakuna.
Tena sababu kuu ya kigoma na tabora kuwa na jiggers ilikuwa ni wakimbizi
Kwani umasikini unafichika! 😂😂😂Just because you hide it haimasnishi hakuna. Nyinyi tunawajua Kwa kuficha umaskini na aibu.
We jamaa ni katika watu mafala humu ndani, unataka watu wakubaliane na mitazamo yako humu ndani ambayo ni kimsingi ni uongo ni upumbavu.. unachagua kuwatukana watu kwasababu ya chuki na ukilaza ulionao. 🤣🤣🤣🤣 no wonder nakuitaga jitu zima pumbavuThis reasoning is so pedestrian for someone like you🤣🤣🤣., umeshuka level ya akina The best 007 na Sama boy 255 and the team 🤣🤣🤣🤣🤣, hizi ndio fikra zao, zero logic and critical thinking., man this is outright fallacy🤣🤣, eti wakiponda sera za maendeleo mko vizuri how? What areas have Tz critiques pointed out? Can u put forth an example of a news criticizing your devt? if such happens it's relative, it can mean different things, not necessarily eti mko vizuri, boss🤣🤣🤣🤣., I agree CCM has sera na mikakati mizuri, but mostly it's on paper.,
Yeah easy , hela ndo kila kitu unaweza hamisha watu ukajenga low cost housing ukawapeleka makazi mapya unatenga like 300mil usd wizara ya ujenzi ndani ya miaka mitano umeondoa slums, kama tunaweza kufufua ATCL hii haiwezi kutushindaHata sasa hivi Dar inawezekana wakiamua. Weka sheria kali za kusimamisha ujenzi holela, rekebisha yale maeneo yaliyojengwa hovyo, basi, mambo yatakuwa safi.
Kutakuwa na collateral damage za hapa na pale lakini tuangalie faida ya miaka 50 ijayo.
Kiswahili empty na uswazi ndio standards 🤣🤣🤣🤣.,Building houses is so cheap for Tanzania , ngoja kwanza tu deal na vitu vikubwa kama tunaweza jenga sGR na kununua ndege , low cost housing scheme ni project rahisi sana