Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sera ndio shida kuu.
Kama sera zikibadilika basi mambo yatanyooka zaidi.
Maana sera nyingi ni za zamani.
CCM kwa kiasi kikubwa wana sera na mikakati mizuri, tatizo ni nani ameshikilia mpini, na kama ameshikwa mikono na ma globalist.

Ukitaka kujuwa tuko vipi, angalia magazeti kama Reuters, Political, NYtimes, the Dailymail na hata magazeti ya Kenya (the mouthpiece of the globalists in EA, hello Teargass, NairobiWalker), yanasema nini kuhusu Tanzania. Ukiona yanaponda sana sera za maendeleo basi juwa tupo vizuri, ukiona wanatupotezea juwa tumeliwa.
 
Mpwimbe Ona maisha ya foreigners. Living in estates and driving big cars. 🤣🤣

View attachment 3332397
Mtaa mchafu, I can witness bad condition of the road
Kenya ni slums na slums ni Kenya, ingia Google andika slums jina la kwanza ni Nairobi Kenya 👇👇🤣🤣🤣🤣
 
Did you mention water and sewer system ndani ya hizo nyumba?🤣🤣🤣🤣
Yani wewe mtu hujui hata sewer system inakaaje unatoa wapi nguvu ya kumention mambo sewerage system? Mibongolala wa Dar hutumia pit latrines


And you also said proper roofs? Kwamba these are proper roofs? Hizi hapa?🤣🤣🤣

Just like most of you here, you have to find solace in Kibera everytime you are cornered. It's just 2.5 square kilometers, way too small to compare with your sprawling uswazi hovels that cover your entire cityscape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…