Barabara nzuri zipo, ila watu hawataki kuzitumia.This π€£π€£π€£ Safari ya siku 3 ju ya barabara mbovu.
View: https://x.com/Adventure_36/status/1747562365283954984?t=mKHwPe-8LYb8xh_1irBJ9A&s=19
Wengine ilitupita hii ya Ethiopia, naomba uelezee kidogo.Ngoja wajivute vute, kama alivyofanya Ethiopia, IMF hawakwepeki watarudi kwao na watatekeleza masharti yao kama kawaida.
Huu mji ungekuwa na ufukwe wa bahari duuu sijui wezee walifeli wapi kupima na kuipanga Dar mapemaMkunya kama huna pumzi usifungue hii vidioo
Dodoma usiku
View: https://youtu.be/ptvFB_TgTMA?si=8GHr-OpY8UWpsmIn
Renders??Sama boy 255 oyaaaa mbilikimo, Nairobi has more than 5 malls under construction na hata hatuko bothered.
Ghorofa Za Ruto! π€π€ujenzi wa ovyo alaf wanajiita wamesoma hawa mbwa
View: https://x.com/okowanashon/status/1921798996856557701?s=46
Unapost renda moja una claim ni five 5 malls coming up. π€£π€£π€£ kweli tumewashika pabaya kutoka kuturingishia malls hadi kuanza kujitetea kwa renderβ¦ π€£π€£π€£Sama boy 255 oyaaaa mbilikimo, Nairobi has more than 5 malls under construction na hata hatuko bothered.
Hata ule Uwanja wao wasipokuwa makini utatutia Aibu Africa Masharikiujenzi wa ovyo alaf wanajiita wamesoma hawa mbwa
View: https://x.com/okowanashon/status/1921798996856557701?s=46
Umeanza wasiwasi mapema sana.Unapost renda moja una claim ni five 5 malls coming up. π€£π€£π€£ kweli tumewashika pabaya kutoka kuturingishia malls hadi kuanza kujitetea kwa renderβ¦ π€£π€£π€£
Pipeline 2.0In 5 years the only slums in the region will be in bongoslum tangagiza π π
15,000+ units, housing like 50,000 people.
View: https://x.com/FauzKhalid/status/1921240610414973387
Duuh huu ujenzi wao utawamalizaGhorofa Za Ruto! π€π€
Nipate wasi wasi na haka kaduka mzee.? π€£π€£π€£ππΎUmeanza wasiwasi mapema sana.
Naona maumivu imeingia vilivyo. Runda Mall was opened a few months ago.Nipate wasi wasi na haka kaduka mzee.? π€£π€£π€£ππΎView attachment 3331925View attachment 3331930