Darasa la 7, Tanzania kwa Kenya ni Darasa la 8.🤣 🤣 🤣 🤣
Inakuwaje Elimu ya Form 4 Kenya inalinganishwa na Form 6 ya Tanzania?
Hapa huwa sielewi kabisa, yaani unakuta mnapeleka CV za elimu kwenye mataifa kama Marekani wao wanatambua form six ya Tanzania ni Sawa na form four ya Kenya how? Waache dharau haiwezekani mtu alosoma form six ukamlinganishe na four yake. Nina PCM Kali unilinganishe na okotaokota wa form four kweli?www.jamiiforums.com
Could you please provide some documentation that demonstrate your experience with calculus in high school?That's data, that's facts my friend. Numbers never lie.
Kwa hivyo unapinga calculus haifunzwi high school Kenya?Could you please provide some documentation that demonstrate your experience with calculus in high school?
Said who?Darasa la 7, Tanzania kwa Kenya ni Darasa la 8.
Kenya ukiacha Kiingereza walichowekeza sana, hawana jipya
Mimi nimeomba tuu uthibitisho wa mitihani, mbona unashindwa kuleta?Kwa hivyo unapinga calculus haifunzwi high school Kenya?
Sisi tunaenda mpaka darasa la 7. Then, form 1.Said who?
Calculus is taught in high schools all over the world, sijui hata mbona unauliza swali la upuzi.Mimi nimeomba tuu uthibitisho wa mitihani, mbona unashindwa kuleta?
Kenya hakuna high school, kuna nini? 🤣 🤣 🤣 Kama hii ndio elimu ya bongoslum, heri hata kutoenda shule.Sisi tunaenda mpaka darasa la 7. Then, form 1.
Kenya mpaka darasa la 8. Then , form 1.
Kenya hakuna high school. TZ kuna high school, miaka 2.
Conning system celebrated by fools.Kenya hakuna high school, kuna nini? 🤣 🤣 🤣 Kama hii ndio elimu ya bongoslum, heri hata kutoenda shule.
Umelianzisha mwenyewe, sasa unatapa tapa.Calculus is taught in high schools all over the world, sijui hata mbona unauliza swali la upuzi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=38nDV679Hao
Sasa unabishana nini? 😄 Ni wewe umesomea Kenya au ni mimi? Ukitaka exam paper, enda KNEC wakupatie basi.Umelianzisha mwenyewe, sasa unatapa tapa.
Huu sio uthibitisho rasmi wa elimu ya sekondari kenya kufundisha calculus. Leta mtihani ambayo wanafunzi wa kenya wanaulizwa maswali ya calculus. Sisi o' level baadhi ya shule zinafundisha calculus, rasmi. Ukitaka uthibitisho wa mitihani ya NECTA ya form 4 ya maswali hayo, nitakupatia.
Rasmi ni official BTW
Kwa jinsi mlivyo wakenya kama ungekuwa na evidence ungeshaitoa, once again I'm going to use this phrase, "big hat no cattle".Sasa unabishana nini? 😄 Ni wewe umesomea Kenya au ni mimi? Ukitaka exam paper, enda KNEC wakupatie basi.
View: https://youtu.be/8wCU-smaKFY?si=QN8hxmvjc3LLe4gt
Kwa hivyo hio ni swali la KCSE ya Bongoslum. Sawa basi.Kwa jinsi mlivyo wakenya kama ungekuwa na evidence ungeshaitoa, once again I'm going to use this phrase, "big hat no cattle".
Hueleweki.Kwa hivyo hio ni swali la KCSE ya Bongoslum. Sawa basi.
I dare you uingie Kwa Google maps unionyeshe hio slum nyuma ya statehouse. Unaokota propaganda online unadhani ni ukweli. Piga screenshot ya hio slum nyuma ya Statehouse sahii kila mtu aone.
Ambassadors wengi wako Masaki na Oysterbay.Nikama hamjui CBD yenu inaanzia wapi na inaishia wapi ju wengine wanakubali ziko CBD wewe unapinga. Hamjielewi. 🤣😂🤣
I dare you uingie Kwa Google maps unionyeshe hio slum nyuma ya statehouse. Unaokota propaganda online unadhani ni ukweli. Piga screenshot ya hio slum nyuma ya Statehouse sahii kila mtu aone.