Inakuwaje Elimu ya Form 4 Kenya inalinganishwa na Form 6 ya Tanzania?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,835
Hapa huwa sielewi kabisa, yaani unakuta mnapeleka CV za elimu kwenye mataifa kama Marekani wao wanatambua form six ya Tanzania ni Sawa na form four ya Kenya how?

Waache dharau haiwezekani mtu alosoma form six ukamlinganishe na four yake. Nina PCM Kali unilinganishe na okotaokota wa form four kweli?
 
Hapa huwa sielew kabisa yani, unakuta mnapeleka cv za elimu kwenye mataifa kama marekani wao wanatambua form six ya Tanzania ni Sawa na form four ya Kenya how??. Waache dharau haiwezekani mtu alosoma form six ukamlinganishe na four yake. Nina PCM Kali unilinganishe na okotaokota wa form four kweli???
Hujielew wewe boya
 
Sababu wao wana mfumo tofauti wa elimu, wao husoma hadi Class 8 au Junior High
Haijalishi mbona sisi zanzibar wanasoma mpaka class 8 vilevile na bado tupo Sawa tu form four yetu na yao tena tunafanya mtihani mmoja wa NECTA
 
Twelfth grade (High school) inatambuliwa Elimu ya kukaa darasani kwa muda wa miaka 12.

Kwa Kenya primary school huwa ni miaka 8 ukijumlisha na miaka 4 ya Secondary inakuwa 12.

Kwa Tanzania primary school ni miaka 7 secondary ni miaka 4 uki add hapo total ni miaka 11.

Hivyo form five na six ya Tz ndio hukamilisha miaka 12 ya High school inayo tambuliwa sehemu nyingi duniani.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
7+4+2 =13 mbona imezidi 12 afu hayo madarasa nane hata zanzibar mbona wanayo
 
Hapa huwa sielewi kabisa, yaani unakuta mnapeleka CV za elimu kwenye mataifa kama Marekani wao wanatambua form six ya Tanzania ni Sawa na form four ya Kenya how?

Waache dharau haiwezekani mtu alosoma form six ukamlinganishe na four yake. Nina PCM Kali unilinganishe na okotaokota wa form four kweli?

Nafikiri wana angalia uwezo wa mtu.
Unaweza kuwa na cheti cha F6 lakini kichwani hamna kitu
 
7+4+2 =13 mbona imezidi 12 afu hayo madarasa nane hata zanzibar mbona wanayo
High school kwa sehemu nyingi duniani hatambuliwa ni miaka 12.

Form four yetu ya Tanzania haika milishi hiyo miaka 12.

Labda cha kufanya hapo wafute class Seven iwe kwamba primary school mwisho class Six then secondary then high school.

Elimu ya Tanzania ni Ndefu mno

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
High school kwa sehemu nyingi duniani hatambuliwa ni miaka 12.

Form four yetu ya Tanzania haika milishi hiyo miaka 12.

Labda cha kufanya hapo wafute class Seven iwe kwamba primary school mwisho class Six then secondary then high school.

Elimu ya Tanzania ni Ndefu mno

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hapo nimekupata japo taarifa zako sio lasimi maana hujaweka reference au credit sehem yoyote
 
High school kwa sehemu nyingi duniani hatambuliwa ni miaka 12.

Form four yetu ya Tanzania haika milishi hiyo miaka 12.

Labda cha kufanya hapo wafute class Seven iwe kwamba primary school mwisho class Six then secondary then high school.

Elimu ya Tanzania ni Ndefu mno

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Darasa la 7 limeshafutwa very soon tunaishia la 6 na elimu msingi inakua hadi kidato cha 4 kutoka darasa la 7
 
Back
Top Bottom