Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pharmacy haiishii tu kwenye pharmacokinetics na pharmacodynamics.
Kabla hujafikia hizo mbili itabidi usome pharmacology kwanza.
Na kwenye pharmacology ndipo mzizi wa pharmacy ambao Chemistry ulipo.
Chemistry ni mzizi wa pharmacy.
Wacha ujuaji mwingi.
 
Poorer countries (LDC) have low cost of living.
18.mil kati ya population ya 55mil kweli nyinyi matajiri🤣🤣🤣🤣

Kenya faces recurring challenges including droughts, floods, and disease outbreaks, worsening the country’s humanitarian crisis. In late 2023, El Niño caused flooding and displacement, impacting nearly 500,000 people. An estimated 18.7 million people in Kenya – more than one-third of the population – are undernourished. Poor nutrition is compounded by factors such as inadequate healthcare access, gender disparities, conflicts, poor infrastructure, and limited access to clean water and sanitation services.
 
We kumbe ni zwazwa!?
Huo ni msaada wa swadaka tu kuhusu futari sio kuwa ni msaada wa balaa njaa kama ninyi Kenya mnaopewa msaada wa chakula kama nchi na WFP World food program.
JE Tanzania inapewa msaada wa chakula wa nchi kama Kenya na WFP!?
Tupe jibu.
 
Poorer countries (LDC) have low cost of living.
That’s why lots of Americans in San Diego buy mansions across in Tijuana, Mexico and drive across the border to work every morning and back to Mexico in the evening . They live like Kings and queens due to the value of the dollar. In the future when Kenya becomes a first world nation, some Kenyans will probably reside across Namanga and isebania ( Hopefully TZ will still be LDC)..😂😂😂
 
Welcome back Kosugi. Punguza hasira. 🤝
 
Unaangalia sana movies za kivita. 🤣🤣🤣🤣🤣 ikiwa babaako America Hana future, anafinywa na mchina kila leo, wewe kibaraka maskini Ndio utakua na future. ?
 
This the future relationship of Kenya and Tanzania 20 years from now.. ( think TZ as Tijuana, Mexico and SanDiego, California as Kenya )🤪😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…