concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Ebu fananisha hiyo barabara ya mbagala tu na hiyo ya kileleshwa . Mind you mbagala ndo sehem wanapoishi watu tunaowachukulia ndo low class🤣🤣🤣 wacha kucompare Kileleshwa na vitu vya upuzi.
Hiyo ni Plaza tu. Ama siku hizi kila shopping plaza ni mall?
Comparing apples to oranges. Barabara ya kupita ndani ya estate inakua compared na highway connecting towns. 🤣🤣 Kwani ukona low self-esteem.Ebu fananisha hiyo barabara ya mbagala tu na hiyo ya kileleshwa . Mind you mbagala ndo sehem wanapoishi watu tunaowachukulia ndo low class
Hakuna mashimo kama kileleshwa🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/Crkhi6vaDTM?si=uJm2NR_q7_UApj4e
alaf sijui hua kwann wanapenda sana kuingilia vita za watu hawa watu ni wajinga sana, haiti wameramba mchanga sasa wanarudi makwao kwa aibu 😂Tayari wameyakanyaga 😃😃😃
Kwikwi leta za kwakoComparing apples to oranges. Barabara ya kupita ndani ya estate inakua compared na highway connecting towns. 🤣🤣 Kwani ukona low self-esteem.
Leta highway ya kwenda kileleshwa Mimi nimekuletea ya kwenda mbagala tu mind you sijaenda ndan hapo kama kijichi najua huwezi fikia hivyo viwango nikiweka barabara ya buza tu inakushindaComparing apples to oranges. Barabara ya kupita ndani ya estate inakua compared na highway connecting towns. 🤣🤣 Kwani ukona low self-esteem.
Unapost highway kama barabara ya mtaa. 🤣🤣 Wachana na Kileleshwa, shugulika na Ile Kibera mumezoea.Kwikwi leta za kwako
alaf sijui hua kwann wanapenda sana kuingilia vita za watu hawa watu ni wajinga sana, haiti wameramba mchanga sasa wanarudi makwao kwa aibu 😂
kama imeingia vzr na unaumia naomba nichomoe plz 😂😂😂😂Hiyo ni Plaza tu. Ama siku hizi kila shopping plaza ni mall?
Unapost highway kama barabara ya mtaa. 🤣🤣 Wachana na Kileleshwa, shugulika na Ile Kibera mumezoea.