Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona mkenya mmoja mwaswast anapambana na wana LDC ni kuwatoa jasho ki- one man army style yani kama Sylvester Stallone aka Rambo.
 
aircraft 7 tushanunua kwa pesa cash ambayo kq ilishindwa na haitaweza tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

modern electric train in africa tushaanza ujenzi kwa phase zote mbili 722km kwa pesa za tanzania cash no debt
Picha msema kweli...hayo mengine ni yuta na tuna.
 
Picha zile zile za usiku na mchana tuuu hamna wapiga picha ama kazi haiopo kabisa?
watanzania hatuna mila za kupiga picha kila kitu kwanza kazi alaf picha baadaeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…