concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Haha sasa hapo SI Bora vipi kuhusu hii middle class yenuEstates zenu za middle class si zinakaa hivi. π€£ π€£ Hizi hata sio estates, hizi ni vijii by the way.
Asante kwa kuconfirm tena maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum. π€£ π€£ π€£Haha sasa hapo SI Bora vipi kuhusu hii middle class yenu
View: https://youtu.be/7I17cjW6Tro?si=Fs1ojMG5t-jta88WHapa hata panya anapata shida kweli
Haha kwahiyo umekubali kuwa maskini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kenya. Vizuri siku nyingine usiwe mbishi. Kama muuza mboga bongo anaweza Jenga nyumba ya tofali ila accounting officer Kenya anaishi kwenye nyumba ya mabati sasa ujiulizw accounting officer wa municipal Tanzania anaweza inunua mukulu yoteAsante kwa kuconfirm tena maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum. π€£ π€£ π€£
serikali inapata slightly above 60% kwenye miradi ya madini in the form of 15% free carried shares, 30% corporate tax and other levies such as skills development and the rest also CSR.Soko na teknolojia gani bhana haya mambo ya kujidharau yashapitwa na wakati ni bora wangeingia ubia na kampuni za ndani kadhaa angalau tufike ata asilimia arubaini zinabaki hapa hapa lakini kwa 15 ni ndogo sanaa
Hakuna jiji la hovyo na lenye kujaa maji during rainfall kama Nairobi, yn jiji la hovyo kweli kweli hakuna Africa nzima.Hapo Jangwani kuna Contractor wa kazi ya miaka 2.
Nairobi, mafuriko kuna nini??
View: https://x.com/kenyasgossips/status/1883566433826980227?t=8IMm8w2d-dH9CZTy1auBpQ&s=19
Maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum, si ushaconfirm. Middle class wa Kenya hawezi toboa in Dar is a slum kwenye hakuna banks and supermarkets ndani ya most estates.Haha kwahiyo umekubali kuwa maskini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kenya. Vizuri siku nyingine usiwe mbishi
Ukipiga hesabu ni mara % tusiweke hela zetu tuwasubirie kwenye gawio na kodiserikali inapata slightly above 60% kwenye miradi ya madini in the form of 15% free carried shares, 30% corporate tax and other levies such as skills development and the rest also CSR.
Wewe ndo umecomfirm kuwa middle class wenu anaishi kwenye slums sasa nani Yuko vizuri .muuza mboga wa Tanzania kwa kenya ni middle ila sio Tanzania .Maskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum, si ushaconfirm. Middle class wa Kenya hawezi toboa in Dar is a slum kwenye hakuna banks and supermarkets ndani ya most estates.
Ninaomba unipe maelezo kunusu jambo hili wanaloliongelea wakenyaMaskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum, si ushaconfirm. Middle class wa Kenya hawezi toboa in Dar is a slum kwenye hakuna banks and supermarkets ndani ya most estates.
Slum dwellers Kenya hujaribu kujishowf kwenda kwenye super markets ili waonekane ila wanalala kwenye slums Tanzania hakuna mentality ya super markets sio ajabu ukamkuta Azam Yuko kariakoo anatungua nguo, pamoja ya kuwa ana maviwanda kuliko Kenya nzimaMaskini wa Kenya ni sawa na middle class wa bongoslum, si ushaconfirm. Middle class wa Kenya hawezi toboa in Dar is a slum kwenye hakuna banks and supermarkets ndani ya most estates.
No any African country is developed than North Korea.North Korea ni LDC according to IMF lakini waamue leo wasifaye chochote kwa miaka 100 still Kunyaland haitokaa ifikie level of development DPR Korea ipo
View: https://youtu.be/cFNFThla5t0?si=QgR2szv7JY5sGjPH
View attachment 3318298
Haha kwenu ishazoeleka kuwepo kwa baiskeli ndani ya Nairobi dar es salaam ni maajabu ndo maana unaona imekuwa ni maajabuKuna wakati walikua wanacheka Kenya kumbe ilikua wacopy. π€£ π€£ π€£
View: https://x.com/millardayo/status/1910362485854515686
Mama mboga wa bongoslum wanaweza toboa kuishi hapa? π€£π€£π€£ Unaota mchana. Wewe tafuta slums upost, middles class ya Nairobi huwezani nayo.Wewe ndo umecomfirm kuwa middle class wenu anaishi kwenye slums sasa nani Yuko vizuri .muuza mboga wa Tanzania kwa kenya ni middle ila sio Tanzania .
Kwahiyo ndo middle class yenu hioπ€£π€£π€£π€£π€£ utachekwa yaan nyumba zimekaa kama magodownMama mboga wa bongoslumwanaweza toboa kuishi hapa. π€£π€£π€£ Unaota mchana. Wewe tafuta slums upost, middles class ya Nairobi huwezani nayo.
Hata goba imepazidi na kukumbusha tu goba hawaishi matajiri ni watu wa kawaida sanaMama mboga wa bongoslum wanaweza toboa kuishi hapa? π€£π€£π€£ Unaota mchana. Wewe tafuta slums upost, middles class ya Nairobi huwezani nayo.
Ofcouse ujinga ya Kisumu huko Lake Zone!Kuna wakati walikua wanacheka Kenya kumbe ilikua wacopy. π€£ π€£ π€£
View: https://x.com/millardayo/status/1910362485854515686
Umeamua kuomba picha ya huko kwenu ukaiweka kama Kenya?Etieee πππ€£π€£π€£π€£View attachment 3315231
ila Ghana wametisha! I didn't expect kuwaona top 2! π π π π