Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha habari za vichochoroni Diageo haiwezi kukubali EABL imeweke contraceptives kwenye bidhaa zao! Itaharibu biashara yao! Wakenya wanakuja kunywa bia Tanzania kwavile ni more affordable, Tanzania hamna makodi ya kijinga!
 
🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Ndio maana unaniogopa sana. Mimi siyo wa mchezo mdogo wangu. Mapambano yote ninaweza.

View attachment 3319421
Nani akuogope?

I just wanted to confirm Kama wewe ndio umechora alafu nikuaibishe kidogo.

Have you ever used a fork and a knife before during meals? Looking at that drawing I’m sure hujaitumia otherwise ungejua fork is supposed to be in which hand and knife in which hand.
 
Almost 10 years later hii maneno ya GDP bado inauma bongolalas, si mlisema mutatupita. Sasa hii hasira yote ni baada ya kuona gap inaongezeka badala ipungue.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kenya wanaabudu sana pesa.

Walienda kupigana Somalia kwasababu ya pesa.

Wamekaribisha Marekani, ana military base hapo kwasababu ya pesa.

Wameenda Haiti kwasababu ya pesa.

Trump kakata pesa, hao wamerudiπŸ˜‚
waliahidiwa pesa na mitumba ya zana za kijeshi na Biden wakapeleka vikosi Haiti 🀣🀣🀣🀣
 
Overfoot ndio nini tena wewe mshamba? Again shell is nowhere to close where someone branches off from Mombasa road to Boma Hotel. There are only two stations, Ola Energy Bellevue and Total Energy Bellevue.

So wewe just know hukuenda Nairobi.
did I say Shell is where you branch off au unaniwekea maneno? I mentioned Shell because You said Mombasa road haipiti South C nikataka unijibu Ile Shell iko eneo gani? badala ya kunijibu una twist my words.
 
Overfoot ndio nini tena wewe mshamba? Again shell is nowhere to close where someone branches off from Mombasa road to Boma Hotel. There are only two stations, Ola Energy Bellevue and Total Energy Bellevue.

So wewe just know hukuenda Nairobi.
Haya sawa inanipunguzia nini mimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…