Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua hata mimi zamani, wakati sisi tunajenga Bus terminals wakenya wakawa wanasema wao wako busy na airports.

Eti wao wanaboresha viwanja vya ndege.

Baada ya kufika KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚

Usafiri wao wa umma ni takataka kabisa.

Kwanza daladala zao (wao wanaita Matatu) wamezipaka rangi na michoro miingi halafu hazina stand maalum.

Tanzania tuna LATRA anapanga nauli, Kenya hakuna kitu kama hicho. Nauli wanajipangia wenye magari.

Na bado wana magari ya zamaniii, yanayoelekea huko kwa Wakamba, yaani ya miaka ya 90 enzi zetu za UDA.

Airports hakuna kitu. Choka mbaya na hawana pesa za kujenga, ndio maana Ruto akataka kumpa tajiri la kihindi Adani, wakaamndamana.

Huyo jamaa ni mwanasiasa Kenya alifika tu TZ Nyerere Airports, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡



View: https://youtu.be/7fiStJ66evE?si=LuBPXt44zQok7c_5
 
According to your fake crooked data, mpaka your retailers are depending on us, kariakoo is pumping your reselling economy
So siku hizi bank of Tanzania inatoa fake, crooked data?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

We don’t depend on poor Tanzanians, those retailers depend on Chinese who import cheap products from China without being Taxed.
 
So siku hizi bank of Tanzania inatoa fake, crooked data?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

We don’t depend on poor Tanzanians, those retailers depend on Chinese who import cheap products from China without being Taxed.
Ninyi mna import mitumba from where??

Kenya has become dumping site.

Whats important, kuvaa cheap products from China au kuvaa chupi za mtumba za Mzungu
 
Ninyi mna import mitumba from where??

Kenya has become dumoing site.

Whats important, kuvaa cheap priducts from China au kuvaa chupi za mtumba za Mzungu
Unatupigia kelele yet Tanzania imports more from Kenya than Kenya imports from Tanzania.
 
πŸ˜…πŸ˜… It's very true kama kwenye issue ya airport tumekuja kuwapiga KO kwenye dakika za jioni kweli, hawatukuti milele, kwenye transportation na logistics kwa ujumla Tanzania tupo mbali mno mbali sana, kuna vitu vingi tunachukulia for granted kama standards of our buses, terminals and so forth lakini Kunyaland ni things they're dreaming of

Watu ambao wametembea Tanzania na Kunyaland wenyewe wanasema Tanzania ipo mbali without bragging, wake wapo mbali kwenye PR wanahype takataka na ni sababu ya ulimbukeni lack of exposure



View: https://youtu.be/V-LZoM3F_fU?si=bu9asPiMQaPLv14A
 
Yaani ili upaone Kenya ni pazuri, pameendelea inatakiwa uwe na pesa uishi Kishua.

Usipande daladala.

Ukae mitaa ya kishua.

Uwe na pesa za kulipia barabara (expressway)

Usile kwa mama lishe, wao wanaita Kibandaski.

Usitembee kwenda mikoani Kenya, vijijini huko.

Uwe na pesa za kununua petrol, na umeme maana Kenya ni gharama ya juu kuliko TZ.
 
Na akili yako finyu unaamini north Korea ina GDP ndogo mara 5 ya naislum?
North Korea sio LDC kijana. Mbona unalazimisha wakuwe LDC kama Tanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

What’s the GDP of Nairobi again for it to have GDP 5 times bigger than North Korea?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona hapa Pia umewawekea na Receipt la TRA kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ζœ€ε€§ι€ŸεΊ¦οΌˆ100οΌ‰

View attachment 3318345
Siku hizi halifiki hata speed ya 100, hawa jamaa wamejenga reli kwenda polini ambako hakuna hata abiria mizigo wanategemea uganda na hata siku ikiisha itawachukua masaa 24 kufika Kampala wakati ya tZ kufika isaka 9 ukiweka kwa roli tu masaa 10 kwa nusu ya gharama
 
I think you are a visitor in this thread. Go check for MV Uhuru. By the way, where was that Songoro when your government and Azam was coming to buy and repair their ships in Mombasa?
Labda ni CORRUPTION. It was a scandal.

Maana Kenya is where corruption deals are done.

We have so many ships operating.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…