concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Mauzo ya ticket za mpira kwa mechi yanazidiwa na mauzo ya katarama bus service dar -bukoba kwa mabasi mawili tu.Mi nangoja matumizi ya Talanta stadium baada ya Afcon 2027! Ikumbukwe uwanja ule ni kwa ajili ya soka tu!
Project imeanza last month according to KURA, wewe unakuja na documentary as if mwenye documentary ndio anarun hio project.Tumekuletea documentary ikiwa na mitaa kabisa ambayo Iko empty hakuna traffic lights ilitakiwa kutuletea picha au video ikituonesha different area with traffic lights na uzuri wamesema kuwa barabara ya ngong na highway tu ndo kwenye traffic's lights . Leta sehem tofaut na zilizotajwa hapo
Kabla ya hapo mlikuwa mnasarifije? Project imeanza last month sawa video iliyoletwa Ina week mbili toka ipostiwe, kwa hiyo siku zote mlikuwa mnatumia toch kuelekeza magari. Project zenu Huwa hazikamiliki na tuna uhakika mpaka sasa ishakufa hakuna kinachoendelea tuprove wrong by video different areas ambazo wameshafunga.Project imeanza last month according to KURA, wewe unakuja na documentary as if mwenye documentary ndio anarun hio project.
View: https://x.com/KURAroads/status/1861714547473625430
Wana shobo na wazungu, mpaka wazungu wanawaona *******
Usiumie sana. Tunajua kwamba moja ya slum kubwa Africa inapatikana huko kwa nyang'au hata ujioshe vipi😁Ju hapa ni dar is a slum ama?
Nairobi ikona interchanges na flyovers mingi sana sio kama dar is a slum amabayo inategemea traffic lights na zebra crossings kila mahali. Tulia uwache wivu project lazima ikamilike hadi phase 3, Traffic Management Center ishaanza kujengwa, wacha Samsung wafanye mambo yao ju Nairobi haina rika hapa EA.Kabla ya hapo mlikuwa mnasarifije? Project imeanza last month sawa video iliyoletwa Ina week mbili toka ipostiwe, kwa hiyo siku zote mlikuwa mnatumia toch kuelekeza magari. Project zenu Huwa hazikamiliki na tuna uhakika mpaka sasa ishakufa hakuna kinachoendelea tuprove wrong by video different areas ambazo wameshafunga.
Nairobi is a city with torches as traffic lights. 🤣🤣🤣
Leta evidence unakuwa na barabara bila kuwa na viongozea barabraba, sasa SI Bora hata usijenge, ndo maana mkatukanwa na yule waziri wa vietnamNairobi ikona interchanges na flyovers mingi sana sio kama dar is a slum amabayo inategemea traffic lights na zebra crossings kila mahali. Tulia uwache wivu project lazima ikamilike hadi phase 3, Traffic Management Center ishaanza kujengwa, wacha Samsung wafanye mambo yao ju Nairobi haina rika hapa EA.
Kubali kwanza hamkuwa na traffic lightsNairobi ikona interchanges na flyovers mingi sana sio kama dar is a slum amabayo inategemea traffic lights na zebra crossings kila mahali. Tulia uwache wivu project lazima ikamilike hadi phase 3, Traffic Management Center ishaanza kujengwa, wacha Samsung wafanye mambo yao ju Nairobi haina rika hapa EA.
Project haitakamilika au umesahau project yenu ya brt ilivyobaki magofuNairobi ikona interchanges na flyovers mingi sana sio kama dar is a slum amabayo inategemea traffic lights na zebra crossings kila mahali. Tulia uwache wivu project lazima ikamilike hadi phase 3, Traffic Management Center ishaanza kujengwa, wacha Samsung wafanye mambo yao ju Nairobi haina rika hapa EA.
Ila wewe kujitetea kwako bhana 🤣🤣🤣 how many roads in Nairobi and how many flyovers and interchanges zipo kwa hizo barabara hati musiwe na traffic lights. 🤣🤣Nairobi ikona interchanges na flyovers mingi sana sio kama dar is a slum amabayo inategemea traffic lights na zebra crossings kila mahali. Tulia uwache wivu project lazima ikamilike hadi phase 3, Traffic Management Center ishaanza kujengwa, wacha Samsung wafanye mambo yao ju Nairobi haina rika hapa EA.
Walikuwa wanatucheka kwann tunajenga multipurpose stadium! 😂😂Itakuwa Vip 25 kwa mechi
Normal 200
🤣🤣🤣🤣
Wao viingilio tu haviwez hata kulipia gestWalikuwa wanatucheka kwann tunajenga multipurpose stadium! 😂😂
Punguza wivu, Samsung lazima washushe kitu kama hii. Mtalilia kwa choo very soon.Project haitakamilika au umesahau project yenu ya brt ilivyobaki magofu
Kila mwanaadamu anaruhusiwa kuwa na ndoto. 🤣🤣🤣Punguza wivu, Samsung lazima washushe kitu kama hii. Mtalilia kwa choo very soon.
Ushaanza kuumia na ndio tumeanza phase 1Kila mwanaadamu anaruhusiwa kuwa na ndoto. 🤣🤣🤣
Hamna uwezo huo nyinyi ni watu wa kujitapa tu mmeshindwa simamia hiyo ya kawaida ntaweza hizoPunguza wivu, Samsung lazima washushe kitu kama hii. Mtalilia kwa choo very soon.
Zile za kawaida tu mmeshindwa hata wafanyakazi kuwalipa mishahara tu mpaka muende benki mtaweza hiyoUshaanza kuumia na ndio tumeanza phase 1