Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Actually your real estate business wholly is owned by Chinese


View: https://youtu.be/oAOjkgqu1rU?si=FNRIFsuSJRlloWjD
 
Most metrics ya Kenya vs Bongoslum lazima Kenya ikue twice more. Here is another one for power distribution network length. Na vile nchi yao ni kubwa. 🤣🤣😆

View attachment 3314170

View attachment 3314166
Hizo za Kenya ukiangalia hata kwa macho unapata wasiwasi mkubwa reality haiendani na data wazee wa kupika kutenga na kujustify.
Haya mtuambie ziko wapi hizo 310K of power network
 
Leo hii mmejua meaning ya Metropolitan na tukiwaambia Nairobi Metropolis ni kubwa kuliko Dar Metropolis mnajifanya wajinga eti - "Nailobi lazima uunganishe Machakos, Kajiado na Kiambu ndio ifikie Dasilinga" 🤣 🤣
Naipori ni ndogo sana wala haifai kuitwa metropolitan city maana maeneo yote mnayosema ni metropolitan areas ziko county nyingine na sio part of Naipori.
 
Duh kmmake WTF.

Yaani eti kuna mtu yupo USA anajiconsole hivi.

HEBU TAFUTENI GIKOMBA MARKET tucheke eti ipo copied.


Kunyans maamae.

Eti BRT copied Nicxie tuione hiyo BRT tuliyicopy Kenya please Can't wait.

I am really eager to see KENYA BRT

nairobae Teargas Nicxie NairobiWalker

Msaada wa kuona

BRT, MODERN MARKET, LAMU PORT, we copied?

mwaiofhawaii kwa hiyo Ghana BLACK STARS nao walicopy ukunyani. No wonder wakoloni hawataki kuapologize

 
Leo hii mmejua meaning ya Metropolitan na tukiwaambia Nairobi Metropolis ni kubwa kuliko Dar Metropolis mnajifanya wajinga eti - "Nailobi lazima uunganishe Machakos, Kajiado na Kiambu ndio ifikie Dasilinga" 🤣 🤣
is like saying Dar Metropolis iunganishe Pwani na Morogoro huo ni ujinga kabisa.
 
Kwa hivyo mumeshinda Kenya? 🤣 🤣 🤣 Nyef nyef ndio mnayo mingi.
wewe umetaka kuona pale Tanesco wamesema peak demand ni 1800MW mimi nimekuwekea ya 1908MW for your convenience sasa huko kushinda Kenya kumetoka wapi? Did I say anything like that?
 
wewe umetaka kuona pale Tanesco wamesema peak demand ni 1800MW mimi nimekuwekea ya 1908MW for your convenience sasa huko kushinda Kenya kumetoka wapi? Did I say anything like that?
Huwa anaruka ruka kama kuku mwenye mdondo, ukimnyuka kwenye hii anarukia nyingine.
 
Tanzania we suffer from stray bullets ili mafala wapate misaada ya chakula bila kuitaja Tanzania hawapati misaada sababu mchina anajua Tanzania ndio inalisha region yote hii kwanini watoe msaada wa chakula wao? Matokeo yake ndio hayo
 
Kenya haipo ldc sababu ya kutoa fake data za population, ni population factor ndio inaamua yupi awe wapi
 
Ili ujue hizi GDP ni usenge angalia Tanzania ina export business worth of 16B$ lakini Kunyaland inayoexport 8B$ almost equal to Burundians eti ina GDP kubwa 😂😂😂
GDPs are temporary huwa zina flactuate mara kwa mara. what matters is the enterprise value that's why unashangaa exports kubwa TZ kuliko Kenya, pia the Govt of Tz can do many projects which are big compared to KE govt hii inaakisi value ya enterprise achana na uchawi wa WB na IMF. siku tukiweza lets say kutohitaji dollar kwa wingi TZS ikapanda thamani GDP inaweza ika double overnight tuu so hayo ni maswala madogo sana hayatuumizi kichwa kwa sasa sisi tuendelee tuu na kujenga misingi ya uchumi imara GDP tuwaachie wao.
 
Which higher standard ya kupewa chapati ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…