Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana nikitravel towards M.mara...
hapo mbele ya Narok town niliahuhudia wakenya wengi wakielekea nyanza region.
kusema ukweli kuna wakenya wengi wenye mihela....nilihesabu karibia hammer 40,Porsch 10,Chrysler 10, mercedes,audi,na BMW more than 500,na matoyota kama lexus na harrior mingi tu kwa kimpindi cha 3 hrs pekee...pesa naona ni mingi.
 
Picha
 
Kwahyo ulinunua na daftari la kutunzia kumbukumbu wakat unafanya hesabu ya darasa la kwanza?
check this out ,this is northen Tz watu huenda kula sikukuu kutoka sehemu mbali mbali unaweza ukahesabu?
 
Labda ata zinatoka nairobi...juu wachagaa mmejazana nai sanaa...kwanza donholm
 
dalili ya ushamba dalili ya uongo
 
Ila kwa kweli nawapendaga sana wachaga, nimekaa mda kdg apo loitoktok kenya na imepakana na rombo apo...Jamaa wazuri sana mnapiga kiti moto na serengeti za baridii alafu mnanogesha story na mabwashe[emoji122] [emoji109] [emoji3]
 
On the Northern corridor of Nairobi-Nakuru-North Rift-Western same with traffic snarl-up since Dec 23rd

Nairobians heading upcountry stuck for hours in highway traffic - PHOTOS - Nairobi News

Ila kwa kweli nawapendaga sana wachaga, nimekaa mda kdg apo loitoktok kenya na imepakana na rombo apo...Jamaa wazuri sana mnapiga kiti moto na serengeti za baridii alafu mnanogesha story na mabwashe[emoji122] [emoji109] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawasawa ,
Merry Christmas pal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…