Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jitayarishe kupata matusi ya kila aina kutoka kwa "wazalendo" watanzania wenzako
Ni kama vile mnawakataaga wakenya wenzenu kule twitter, nothing special. Huyo anaijua Dar ila haijui Nairobi, akifuatilia huu uzi vzr ataelewa tunazungumzia nn.
 
wacha waendelee kuji shoot kwenye mguu. yule muhindi wao aliyeshika soko la gas kama anakamata kende za nyangau anahonga mamlaka ile mbaya wakati uwezo hana waache waendelee ku import gas from Tanzania.
 
kwani hiyo list imesema top 10 au anything? You think we cannot tinker with our exchange rates like you to prop up our GDP?
 
Acha ubishi pitia hapa it was first proposed in 2014 while were completing ours 🤣🤣🤣
 
SGR was an East African Initiative rooted in East Africa railways master plan. it was a joint agreement to upgrade our railways. because Kenya started first does not mean other countries copied Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…