Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi naona kama tunabishananga na watu wanataka usaidizi coz warathese?
 
You are a cow, what does 2024 Full year means? Kweli wewe ni ng’ombe.

Ninyi level yenu ni Burundi, nothing is working in that Shithole View attachment 3311155View attachment 3311156
Kwanza u
You are a cow, what does 2024 Full year means? Kweli wewe ni ng’ombe.

View attachment 3311146
Ndo maana tunakuambia wewe ni ng'ombe hiyo financial statement au summary ambayo Haina uhalisia , Leo ni 21/02/2025
Unataka kutuambia washamaliza haya yafuatayo
Stock taking ili kuasses mali zilizopo
Bank reconciliation kujua kama Kuna usawa kati ya benki na cashboook
Uhakika wa madeni yaliyopo yanayohitakika kulipwa na batili ( internal auditors)
Hayo yote yanahitajika kufanya ili upate vitabu halisi kama vya kampuni
Kilichowekwa hapo ni mauzo ambayo bado unaweza Kuta Kuna Kuna pesa unaweza haijakusanywa pamoja na kuwa mauzo yashafanyika
We nguruwe financial statement ndo hutoa uelekeo wa kampuni na SI summary kama unavyojaribu kuleta hapa.
Na ili information yote iwe validy lazima iwe signed , stampend na certified accountants .
Sasa wewe ng'ombe onyesha sahahi ya accounting firm yoyote kwenye hiyo taarifa

Mkiambiwaga hamna akili mmekalia kiingereza kingi lakini zero performance mnaona tuwaonea
 
Ndo maana tunakuambia wewe ni ng'ombe hiyo financial statement au summary ambayo Haina uhalisia , Leo ni 21/02/2025
Sasa kati yangu na wewe nani ng’ombe? Hujui hata leo ni tarehe ngapi. Kwani watanzania wote ni wajinga?

Yani fala anakuambia with a straight face ati leo ni February😂😂🤣😂
 
Sasa kati yangu na wewe nani ng’ombe? Hujui hata leo ni tarehe ngapi. Kwani watanzania wote ni wajinga?

Yani fala anakuambia with a straight face ati leo ni February😂😂🤣😂
Wewe ndo ng' ombe maana huijui mpaka Leo safaricom bado hajawa na report ya 2024/2025 .
Taarifa ya fedha sio rahisi kama unavohisi. Kila kampuni Ina financial year yake kwa safaricom inaanzia 1/4 Kila mwaka na hutakuta report yoyote ya fedha isioishia 31/3 ( audited repot
 
Sibishani na ng’ombe mwenye hajui hata tarehe ya leo ni ngapi.
 
Sibishani na ng’ombe mwenye hajui hata tarehe ya leo ni ngapi.
Sasa nabishanaje na nincompoop asiyejua kusoma hata taarifa ya fedha kama wewe niliwahi kukuambia njoo nikufundishe maisha ona sasa hata kusoma financial statement huijui. Sasa hata hizo shares mnazodanganyana kununua mnaibiwa tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…