Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli mtupu Tz Labda ulinganishe na Afghanistan.
 
Ohooo, akija kenya na tabia zake hizi, tunamtumia njemba kadhaa anapigwa bomba freshi yaani chigudi chigudee, lazma anyooke[emoji3] [emoji382]
Tatzooo mond hawez fanyA hayo kenya hakUna demu mzur wa kuzaa na mond huko kwa sura zipi kwa mfano???
 
mshindani wa hivi vibanda?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe unataka tukuwekee na maduka ya maziwa hapo au unatakaje.

Au ndege zinatua juu ya paa la jengo???

No wonder mmejenga stations za kisasa,treni za 30s.
 
mshindani wa hivi vibanda?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Heheh dah, waswahili walimkosea wapi Allah jamani dah! Alaf magu anabana matumizi hadi naskia ikulu hapo dar msosi ni mara mbili kwa siku tuu, alaf jioni wanakula pipi tuu..ili apate pesa za kukomboa bomba-dia lije litue huko mabandani[emoji3] [emoji3] [emoji122] [emoji191] [emoji125]
 
Wewe unataka tukuwekee na maduka ya maziwa hapo au unatakaje.

Au ndege zinatua juu ya paa la jengo???

No wonder mmejenga stations za kisasa,treni za 30s.
pwahahahha...nilikuwa nakuuliza kama hivyo vibanda vimekosa mshindani toka Kenya ....jiangalie kwanza bro kisha utamke
 
Hamna adabu nyie yani paka(Kenya) akitoka panya(Tanzani)anatawala. Tumerudi sasa mtakimya na nambari mtaisoma...LDC nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…