President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Tulia mzee nikupige za uso. Na ukome kutujaribu. Mtu mwenye hujui Accounts 🤣🤣🤣🤣 Subiri nikupatie somoSasa hizi Stadiums Kama za Homabay ndio level ya zile takataka wanajenga pale Dodoma na Arusha.
Mzee pitia hiyo report page 177 🤣🤣🤣👇👇👇 Hapa unajadiliana na wasomi kijana. Siyo mbumbumbu wa kiberaKama umepitia Ebu tuonyeshe kitu umepata, najua you can’t disclose cause it’s much bigger than what you can even imagine.
Hiyo $2.5B ni wewe ndio uliweka? Safaricom revenue is $5B na Kama hufurahishwi unaezajinyonga.Sio $2.5 billion tena.? tayari imefika $5 billion leo Leo.? 🤣🤣🤣🤣
Mzee hizo pesa zipo kwenye kichwa chako tu. Does not exists 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Hiyo $2.5B ni wewe ndio uliweka? Safaricom revenue is $5B na Kama hufurahishwi unaezajinyonga.
Kelele zilipigwa huko Nigeria. Somo limeeleweka. Wakenya hapa wanapiga kelele tu. 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
View: https://x.com/TheHypeQueen/status/1912842823440740643
This is low key hella cool- such an occurrence will give the tourists a once-in-a-lifetime experience they will never forget. Kwanza vile wazungu hupenda hizi stuff
Hii ya $5B in revenue hutaki?😂😂🤣👇👇Mzee pitia hiyo report page 177 🤣🤣🤣👇👇👇 Hapa unajadiliana na wasomi kijana. Siyo mbumbumbu wa kibera
View attachment 3310497
Hii enyewe pia kumbe ni biashara ya maandazi tu. 🤣🤣🤣👇🏾 financial statements yake hii.Hiyo $2.5B ni wewe ndio uliweka? Safaricom revenue is $5B na Kama hufurahishwi unaezajinyonga.
👇 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 Bonyeza hapo nilipozungushia uweze kusoma yote. Acha uzembe. Also utuoneshe hiyo $5B unaitolea wapi
Ukishuka chini mpaka kwenye NET Profit mzee utacheka. Hiyo ndiyo faida yao kaka 👇👇👇👇🤣🤣🤣🤣Hii enyewe pia kumbe ni biashara ya maandazi tu. 🤣🤣🤣👇🏾 financial statements yake hii. View attachment 3310514
Teargass naongezea Short Term Liabilities ni kamaTulia mzee nikupige za uso. Na ukome kutujaribu. Mtu mwenye hujui Accounts 🤣🤣🤣🤣 Subiri nikupatie somo
Tunaendelea na Ratios
View attachment 3310493
Total Current Asset = Ksh 82,541.9M
Total Current Liabilities = Ksh 167,822.1M
82,541.9M - 167,822.1M = -85,280.2M
Watu mnaona wenyewe 🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆
Hii ni kampuni ya kuuza ubuyu tu. 🤣🤣🤣 hata 20 bora haiingii Tz. Leo kachokoza moto. Na ndio ataujua ukweli. 🤣🤣🤣Ukishuka chini mpaka kwenye NET Profit mzee utacheka. Hiyo ndiyo faida yao kaka 👇👇👇👇🤣🤣🤣🤣
View attachment 3310516
It will take years for a Tanzanian company to achieve what Safaricom is doing currently.Hii enyewe pia kumbe ni biashara ya maandazi tu. 🤣🤣🤣👇🏾 financial statements yake hii. View attachment 3310514
Hii ni sawa na kampuni ya kuuza maji. HIL WATER. 🤣🤣🤣Teargass naongezea Short Term Liabilities ni kama
1. Salaries
2. Water Bills
3. Wages
4. Electricity Bills
Sasa Kampuni inaenda kukopa ili iweze kulipa watu mishahara. Sasa hiyo kampuni ipo na uhai kweli? 🤣 🤣 🤣 🤣
Hamjawai kuwa focus ya anything hii Africa. Naelewa excitement yenu.Hapana! Wapopo wamekubali kuwa Watanzania wako mbele ya muda. Watu wanajua kupiga pamba.
Geza UloleNigeria ni macousins wenu in hunger ila nyie mnanafuu. Wanamdomo mrefu kama nyie wa kijikweza na kuona wako mbele ya wengine ilhali ni bado sana. Wamepigiwa pamba wamejikunyata na kukubali muziki wetu, shwain!
Show me any company in Tanzania that makes bigger profit than Safaricom. Nimekaa pale nangoja.Hii ni kampuni ya kuuza ubuyu tu. 🤣🤣🤣 hata 20 bora haiingii Tz. Leo kachokoza moto. Na ndio ataujua ukweli. 🤣🤣🤣