Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanaonewa 🤣🤣🤣🤣 sasa wameamua kulazimisha mambo. 🤣🤣🤣🤣. Ukweli umejulikana na vikampuni vyao vya kuuza maandazi.
Eti analeta kampuni ya Retails AKA Suppermarkert kuja kushindana na makampuni makubwa kama haya. Most of Supermarket 80% ya bidhaa wanazouza ni bidhaa za miwanda. so almost 70% ya revenue zao siyo pesa zao.

Nakumatt, Uchumi Supermarket walikuja Tanzania na janja janja zao wakaangukia pua 🤣 🤣 🤣 🤣
 
And still yet inasafirisha abiria kuliko sgr yenu hapo haijaanza na cargo tu
 
Take 4 of your best companies, their revenue haifikii hata Safaricom. Na hizo numbers Umeweka hapo juu ni rumors.


Safaricom revenues was Ksh506.7B
 
Tena hiyo ni 16% shares za serikali tuu $888m je overall ni dollar ngapi wapige hesabu wenyewe kama elimu ya mama ngina inawasaidia.
 
Tanzania maisha magumu sana, company ambayo inatengeza kila kitu kuanzia cooking oil, Maize flour mpaka energy drinks inashindwa kuvuka 2bn revenue. Hio sio sawa kabisa ukizingatia kwamba ni zaidi ya company 20 pamoja. Kenya Duka la ujumla la Naivas tayari ni tishio Tanzania 😃
 
Utau nyangau kwa pressure bure sisi tunakimbiza mwizi kimyakimya. Ukimwekea na Caspian hapa si watatoweka wote humu?
It will take your companies years reach where Safaricom is currently.

$5B in revenues.

 
Hata BRT walifanya kujishindanisha na Kenya, angalia sasa inavyojifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…