Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MTOKO WA PASAKA Tanzania ya Moto. Hatupoi. Mtoto wenu kutoka Kenya huyu hapa. Ongeeni sasa

NI MTOKO WA PASAKA 2025 ! APRIL 20 THE SUPERDOME MASAKI​

Ebu Mwambie akutajie tu kampuni tano in Tanzania that made hiyo profit ya Naivas that they despise. Akikuonyesha nahama JF.

Akitaja nimention tucheke pamoja. 🤣🤣
Me nikiwa busy na mechi ya Simba. Nyie hangaikeni kwanza na hii Melt group. Its revenue is $2 billion yearly. 🤣🤣👇🏾 no Kunyana company can come close, and guess what.? This is local investment. 👇🏾MeTL Group | LinkedIn.
 
Mambo ya Azam uliachana nayo?😂🤣😂. Alafu wamesema soon they will cross $2B, meaning they are still far from getting to that number. Now I want to ask you something, is this the biggest company in Tanzania by revenue?
 
Wewe si ulietaka kampuni tano zenye zima generate over 2 billion kenya sh.? 🤣🤣🤣

Again kwani Azam uliishinda.? 🤣🤣🤣 kampuni zote mbili ni bigger that whatever you brought here.
 
Mambo ya Azam uliachana nayo?😂🤣😂. Alafu wamesema soon they will cross $2B, meaning they are still far from getting to that number. Now I want to ask you something, is this the biggest company in Tanzania by revenue?
Katika zile kampuni 5 ulizoomba hii ni kampuni ya 3. TWIGA MINING COMPANY 🤣🤣👇🏾 sasa hii ni balaa kwasababu serikali pekee inapokea $888 million yearly. Sijui growth revenue Yao inakua kubwa kiasi gani. 👇🏾.. 👇🏾Barrick Gold Injects $4.24 Billion into Tanzanian Economy Through Twiga Joint Venture Between 2019 and 2024.
 
When is soon?

Ogopa Naivas bana, yani kampuni moja imewatoa jasho, intafutiwa group of companies zishakinishwe pamoja just to compete.
 
When is soon?

Ogopa Naivas bana, yani kampuni moja imewatoa jasho, intafutiwa group of companies zishakinishwe pamoja just to compete.
Nenda kwalilie Melt sio Mimi niliondika buda. 🤣🤣🤣
Hadi unaleta joint ventures with government, enyewe ogopa Naivas. 🤣🤣🤣
Unanipigia kelele. Hii ni report ya 2017 lake oil ilikua inapiga $1 billion already sahii si ajabu wapo hat $1.5 billion-$2 billion yearly 👇🏾👇🏾. Meet The 36 Year-Old Entrepreneur Who Built A $1 Billion Oil Company In Tanzania.
 
Hadi unaleta joint ventures with government, enyewe ogopa Naivas. 🤣🤣🤣
Sasa mjomba kwani hiyo sio kampuni.? 🤣🤣🤣🤣 au serikali ukitoa shares Ndio inaondoa uhalali wa kuwa kampuni ya kujitegemea au.? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…