Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I wish dar ingekuwa na good planning kama hii lakini sijui tulikosea wapi anyway hatujachelewa sana inabidi serikali iingilie kati kuondoa old buildings especially in cbd na kurekebisha barabara
..
 
.
Ni kwasababu ni kamji kao kadogo sana hata sisi city centre kuanzia Bibi Siti, ohio na mpaka kivukoni mbona kuko vizuri tuu. Au 'planned' kwako inamaanisha gani, barabara pana, miti ya jacaranda au ni nini?
 
I wish dar ingekuwa na good planning kama hii lakini sijui tulikosea wapi anyway hatujachelewa sana inabidi serikali iingilie kati kuondoa old buildings especially in cbd na kurekebisha barabara
Barabara zisikunyime usingizi,ni kitu kidogo sana.ndio maana kuna BRT mpaka sasa,umeiona hapo zimbabwe???
 
sio kusudio langu kukutoa povuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
lakini haifanyi kazi..... tangu kuzinduliwa kwake saa hii mwaka unaisha coz of poor planning.
unakurupuka kufanya kitu kisha mwishowe unakwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…