Lia ukipenda but ukweli utabaki kwamba Azam ni level ya Naivas Supermarket.azam wa babako labda😉😉😉😉😉
haha uzuri research hazidanganyi kuwa wakenya ma ugonjwa wa akiliAzam annual revenue is $800M same as Naivas, Kama hufurahishwi Nenda ukajinyonge.
kaka acha ku-exaggerate thamani ya hii catamaran speed boat mbona ipo wazi yaani unadai $200 mln? imekuwa dreamliner? Kwahiyo Kilimanjaro VII thamani yake ni zaidi na Mv Mwanza hapa kazi Tu?Hakuna kampuni ya kikenya ambayo ina mauzo zaid ya bakhresa walicholeta hapo ni estimation za mauzo yake kwa mwaka 2016, hakukua na hotel verde, united petroleum , kiwanda cha sukari kipindi hicho hiyo naivas totalrevenue ilikuwa 0.6mil usd .
total assets za naivas hazifikii hata 200mil usd
hazifikii hata dhamani ya hili dude moja na haya yako 13
View attachment 3309212
post total assets za naivas au safaricom then wecompare with only azam kabla hatujaenda kwa wengine
ila total asset za naivas ni sawa na boat moja ya azamMambo ya Azam in Kenya imeisha. Kwanza ni hasara tupu walikuwa wanapata, no wonder their yearly revenue ilikuwa sawa na ya Naivas.
wacha kuropoka!ila total asset za naivas ni sawa na boat moja ya azam
na bado mtakuja mpigia magoti ili awafadhiliMambo ya Azam in Kenya imeisha. Kwanza ni hasara tupu walikuwa wanapata, no wonder their yearly revenue ilikuwa sawa na ya Naivas.
leta total assets za naivas kenya tuweke dhamani ya hizo za azam ikiwa mtaji wa naivas utaizid hizo boat ntakubali kuwa uko sawawacha kuropoka!
sawa Azam ni kubwa kulinganisha na Naivas ambayo ina shareholders makampuni ya kigeni ila kusema ati thamani ya Naivas ni sawa na catamaran speed boat ni ujinga! sasa tofauti yako wewe na Teargass ni nn?leta total assets za naivas kenya tuweke dhamani ya hizo za azam ikiwa mtaji wa naivas utaizid hizo boat ntakubali kuwa uko sawa
sijakataa ndo namaana nimesema post the curent balance sheet ya naivas tulinganishe na dhamani ya boat za azam, hizo boat sio za usd 2mil .sawa Azam ni kubwa kulinganisha na Naivas ambayo ina shareholders makampuni ya kigeni ila kusema ati thamani ya Naivas ni sawa na catamaran speed boat ni ujinga!
usidanganyike na sales unaweza ukawa na revenue kubwa kuliko ila ukawa na asset saizi ya mbilikimosawa Azam ni kubwa kulinganisha na Naivas ambayo ina shareholders makampuni ya kigeni ila kusema ati thamani ya Naivas ni sawa na catamaran speed boat ni ujinga! sasa tofauti yako wewe na Teargass ni nn?
sasa kwahiyo unadhani hiyo revenue ya $800 mln mwaka 2015 ni faida? akili yako haiko sawa!sijakataa ndo namaana nimesema post the curent balance sheet ya naivas tulinganishe na dhamani ya boat za azam, hizo boat sio za usd 2mil .
acha kubadilisha id REVENUE na asset ni vitu viwili tofauti, asset ni jumla ya mali ulizonazo tukimnisha majengo, magari, hisa na kadhalika na revenue ni mauzo yako kabla kuanza kutoa gharama nyingine, sasa unachokataa nini kwamba haiwezekaniki azam mwaka 2015 akawa na mauzo ya 800mil halafu miaka 10 mbele mauzo yake yaendelea kubaki palepale wakati akiwa kaongeza aset au mali kuzalishia. 2015 zam hakuwa na kiwanda ch sukari wala na viwanda kadha wa kadha united petroleumsasa kwahiyo unadhai hiyo revenue ya $800 mln mwaka 2015 ni faida? akili yako haiko sawa!
wewe ndo hauko sawasasa kwahiyo unadhai hiyo revenue ya $800 mln mwaka 2015 ni faida? akili yako haiko sawa!
Revenue ni thamani ya mauzo kabla ya kutoa gharama! Na si faida!acha kubadilisha id REVENUE na asset ni vitu viwili tofauti, asset ni jumla ya mali ulizonazo tukimnisha majengo, magari, hisa na kadhalika na revenue ni mauzo yako kabla kuanza kutoa gharama nyingine, sasa unachokataa nini kwamba haiwezekaniki azam mwaka 2015 akawa na mauzo ya 800mil halafu miaka 10 mbele mauzo yake yaendelea kubaki palepale wakati akiwa kaongeza aset au mali kuzalishia. 2015 zam hakuwa na kiwanda ch sukari wala na viwanda kadha wa kadha united petroleum
Bwana govi taarifa hii inaeleza wazi tarehe iliyotolewa feb 2016 whereby investments karibu zote kuanzia , hotels, real estate company, Sugar factory, digital media company , Petroleum Company hazikuwepo 🤣🤣🤣🤣Unajuaje ni ya 2015? Alafu unajua hakuna penye imeandikwa lazima revenue iongezeke. Maybe it has reduced from $800M and that’s why they don’t want to change😂😂
Revenue ya Azam Group is same as revenue ya Naivas. Pole Kama umeumia.Hizi investments zote za Azam zimeanza kati ya 2019. 👇🏾 verde hotel View attachment 3309234View attachment 3309235View attachment 3309236View attachment 3309240Fumba town 👇🏾View attachment 3309247View attachment 3309242View attachment 3309263..
View: https://youtu.be/vRwatk6DIQQ?si=iw_xOoyRMNtfJVWt. Thamani ya nyumba hiyo apo juu Ndio net profit ya Naivas. 🤣🤣🤣🤣. $12 million ni sawa na 1.6 billion Kenya money while net profit ya Naivas ni 2 billion Ksh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bwana govi Njoo ulie huku. Teargas. Hizi investments za Bakhresa mbili tu huko Znz.
But Azam wanasema revenue yao kwa mwaka ni $800M, sasa wewe baboon unapingana Kama nani? I trust Azam more than primitive baboon.Bwana govi taarifa hii inaeleza wazi tarehe iliyotolewa feb 2016 whereby investments karibu zote kuanzia , hotels, real estate company, Sugar factory, digital media company , Petroleum Company hazikuwepo 🤣🤣🤣🤣View attachment 3309268sasa faida itashuka au itapanda. Hiyo na Naivas labda ishindane na outlet za Azam ice-cream kwa mauzo 🤣🤣🤣 yaani hizi apa 👇🏾View attachment 3309272View attachment 3309273