Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂 Where your sources au umejtype tu.

Tuletee hilo kombe now lipo wapi?
 
Then why msiwape wasanii wenu, useless kabisa yaani wasanii wanalia bado upo unaleta ufala hapa
 
Revenue ya Naivas kampuni moja pekee ni ksh 96 billion. Numbers ziko wazi. Sasa kusanya hizo kampuni zote za mwenye Azam uweke pamoja alafu utuambie kama inashinda Naivas kampuni moja pekee.
Kwanza nikuambie hiyo figure uliyoweka ni turnover ya Azam marine tu Tena za Zanzibar dar


Exchange rate Iko ksh129/usd
Kwa hizo figure ulizoweka ni sawa na 741 mil huku Azam marine ( viboti tu)
800mil+
Hapo hatujaweka Azam flour,juice hotels, na viwanda vyote vilivyo east Africa .
Hicho ulichoweka ni revenue za makampuni ya mabasi kama selous, shabiby, abood na happy nation .
Hiyo ni hela ndogo sana
AI Overview


+1
Azam Marine, part of the Bakhresa Group, has an annual turnover exceeding USD 800 million. The Bakhresa Group, which includes Azam Marine, has expanded from its initial operations in 1975 to encompass 15 distinct divisions. Azam Marine's total revenue is part of the Bakhresa
 
Kunyans at best. Isn't the Boy South Sudanese.

Can't you see the name, even the parents is South Sudanese.

Lini mtaacha kujipa ujiko?
Enda basi uwaambie wakubadilishie hapo Kwa Nationality ikue vile wewe unataka. Unapinga hata kitu inaonekana Kwa macho jameni.
 
Kwa hivyo Naivas kampuni moja ni sawa na hizo kampuni zote za Azam combined. 🤣🤣🤣 Kenya haina rika hapa East Africa.
 
Kwa hivyo Naivas kampuni moja ni sawa na hizo kampuni zote za Azam combined. 🤣🤣🤣 Kenya haina rika hapa East Africa.
Kumbe maskini hata haujui Azam marine ni biashara sea vessels tu na ndo revenue yake hiyo, wewe umeleta naivas yako yote ambayo revenue yake hazifiki hata zile za Azam sea taxis
 
Kumbe maskini hata haujui Azam marine ni biashara sea vessels tu na ndo revenue yake hiyo, wewe umeleta naivas yako yote ambayo revenue yake hazifiki hata zile za Azam sea taxis
We are not fools, $800 million is the estimated revenue for Bhakresa group. Sisi sio wajinga bana.
 
Thanks for agreeing with me that those are Arabs. Thank you for being honest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…