Shugulikeni na hii kwanza
Kumbe life lao hata la burundi lina afadhaliUnaweza kusema wana good life kuliko Tanzania.
One of the highlighted areas in that map is Ruai.
Now let's check "Ruai slum"View attachment 3304573View attachment 3304575View attachment 3304576View attachment 3304578View attachment 3304579View attachment 3304581
Then let's compare with uswazi middle-class areas View attachment 3304582
Kibera as usual! Gat nothing new?
Kujitetea hakusaidiiπDelete check (typo) kisha bakisha kinyamwezi
Mkanda ni shingapi kwani uko ulaya mpaka u tuck-in hoodie ndo jeans isivuke ππView attachment 3304259
Natural autism.Vichwa vyao vya duara kama boga
Who's the owner!?Football stadia in Kenya are managed by FKL, not government. Government of Kenya are just check custodians
Kama huipendi nenda kaivunje au kawaue hao 7m slum dwellers na uhame uhame huko kwenye ma slums, na uvunje ma slums yote yaliyotapakaa Kenya nzima.Kibera as usual! Gat nothing new?
Subiri nielekee Westlands. Nyuma ya yale Majengo ya GTC.
Nairobi kwa ground ni mbovu kinoma. Nadhani kwa East Africa ndo mji wenye poorest Horizontal infrastracture.
Hapo kuna jogoo road ile inayotekea nyuma ya Pipeline ni aibu ya Dunia
Na naambiwa ni highway.
Huyu Governor wao anaconferm na hana hela. Tunaambiwa Nairobi GDP ni $60b more than the whole country of Uganda.
View attachment 3193101
You still need Jordans ?β¦ View attachment 3304273
Duuhh instanbul yuko sahihi aisee, hawa jamaa ndiyo mana wanaweka picha za juu tu lkn chini ni hovyo sn, kuna kale kajengo kao ka glass kapo karibu na Xpress way ya mchina ni aibu tupu road inayopita pale, lkn watakuwekea vipicha vya upande upande na vimaneno maneno then they are the best.
Hizi nguo kaazima ama?
Lile shati asingekunja mikono ingefika magotiniHizi nguo kaazima ama?
Kbs, I wonder jamaa ni mshamba, katokea kama mzee wa miaka sabini anayeuendekeza uchekibob πLile shati asingekunja mikono ingefika magotini
Picha ni ya 90s hyo, si unajua Mwai Sadima Dickson a.k.a mwaiofhawaii ni wa kitambo, alienda US kama mkimbizi kutoka kakuma refugee camp, alijifanya mnyarwanda aliyekimbia mauaji ya Kimberly. Pale kakuma refugee camp kuna wakenya wapo registered kama wakimbizi na govt inajua.Kbs, I wonder jamaa ni mshamba, katokea kama mzee wa miaka sabini anayeuendekeza uchekibob π
ulitaka nisipost kwani we unaumia ukiwa wapi? πBasi Mbona umepost hiyo kampuni mpya ya milk powder? Ulikuwa unalala ukiipost ama?
ziko wapi sasa ?? πππππWewe Myemen Mbona unajiaibisha? Hizi ni vitu zinatengenezwa kule kwa waingie. Have you ever heard of Kenya Coast Guard?