Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu si walisema ni mwizi?
Tunajua kila kitu sisi.
Watakuambia unafuatilia sn nchi yao, yn upumbavu wao tukiwasanua wanasema wanasema tunawafuatilia, ila wao wakiongea kuhusu sisi tukae kmya, kuwa mkenya ni shida kwakweli.
 
Really? Sasa cessna ndege inayomilikiwa na vijana wadogo wa 28 years old huku Kenya unapost kama national pride… watz bana
View attachment 3301304
View attachment 3301305
Anyway hata kama hio ni kubwa bado sio vitu vya kupost humu…
Khalif kairo anamiliki ndege kumbe na hamsemi.? 🤣🤣🤣🤣 kwanini mnapenda kujidanganya.? Kwamba “Ndege inayomilikiwa na kijana Mdogo kenya “ 🤣🤣🤣🤣. ichoboy01 siku moja uliwahi kufundisha humu kwamba mkenya akiongea maneno 1000 chukua neno moja tu uondoke 🤣🤣🤣 na lenyewe usilitilie maanani.
 
Your president here is being too political. Yaani ujenge 60k modern stadium from scratch in 18 months ? Unless mnauenga zile vitu zenu jua kali like the Kisumu international ultramodern stadia 😀😀😀
Tuliwaambia Opening na Closing Matches Lazima zitachezwa Kenya mkaona ni Mchezo 😂😂😂. Never joke with Kenya's work Force. Na Bado Kasarani haijaingia phase 2. Mtatoroka 😂
 
Mombasa city haina 5 star hotel! Pia kumbuka Arusha ina viwanja viwili vya ndege KIA na Arusha airport at her disposal! Aside that pamoja na kuwa na fukwe hamna uaafiri wa maana wa majini kwa ajili ya abiria!
Kilimanjaro international airport haipo Arusha town. It's located 40kms away from Arusha town. The only airport within Arusha town is Arusha airport. Kadanganye wajukuu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…