Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunya ipo EA, haipo nje ya dunia.
So is Tanzania but I don’t know much that goes on down south, safe for the projects and some political scandals like the Tundu Lissu case, much of which I see from Jamii forum, anything that happens outside JF I barely know, but it could be my interests are aligned differently.. I am not blaming you G, I’m plainly makiya claim that you guys appear to know more of what happens here vis a vis Kenyans
 
Hufuatilii Tz alafu kila mwisho wa mwezi ukipokea mshahara wako unavuka border unaingia Tz kuja kunywa pombe za bei rahisi.
 
Hawa wakunya wanaopost habari za Tanzania humu ni nani!
Jana tu umetoka kupost habari za Tanzania!
Tena unaandika hivo ukiwa kwenye forum inayomilikiwa na Mtanzania, mimi mbona sijui forums zenu!
 
Nitajie infrastructure iliyopo Arusha ambayo haiko Mombasa. Unatutajia miundumbinu wakati uwanja wenyewe mnajenga msituni!
Mombasa city haina 5 star hotel! Pia kumbuka Arusha ina viwanja viwili vya ndege KIA na Arusha airport at her disposal! Aside that pamoja na kuwa na fukwe hamna uaafiri wa maana wa majini kwa ajili ya abiria!
 
Ngoja nijibu paragraph ya mwisho.

Dodoma Ndio mji ambao uko connected (Ukitoa bahari) kuliko miji yote East Africa kwa njia ya nchi kavu

Mtu akitoka Dar kwenda Dodoma atatumia saa 1 kwa njia ya nchi kavu

Roughly same Distance mtu akitoka Nairobi Hadi Mombasa atatumia masaa 6 at Best.

Hadi tunaanza AFCON Dodoma itakuwa na modern airport kuliko zote zilizopo Kenya.

Kazi yenu kubwa na mtihani mliobaki nao sasa ni kuwa wasafi hapo Nairobi otherwise tutaandaa mashindano yote
 
unless uwe hujui maana ya PPP unafkiri na nyie hamutoi pesa kuna its either inaeza kua china 90% to kenya 10% au china80% to kenya 20%

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
So sauti imechange from Mchina anamiliki Talanta Stadium kwa 100% to China 80% and Kenya 20%. So $350M yenye GOK italipa ni 20% the value of Talanta? Wewe kaa chini ushachoka😂😂
 
Naona sauti za ngoma zinabadilika polepole, kadri ya jua inavyokua Kali🤣🤣🤣🤣🤣
Kitambo alikuwa amekazana ati Talanta ni 100% mali ya Mchina, Leo hii kakuja na 80%. Sema kuchanganyikiwa😂😂🤣
 
Momba
Mombasa city haina 5 star hotel! Pia kumbuka Arusha ina viwanja viwili vya ndege KIA na Arusha airport at her disposal! Aside that pamoja na kuwa na fukwe hamna uaafiri wa maana wa majini kwa ajili ya abiria!
Mombasa has 5* hotels wewe mzee. Kwanza Mombasa has even better hotels than Dar, let alone Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…