NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,325
- 19,700
Is that an official source?Hii ni AI? View attachment 3296619
aren't your newspapers trustworthy?Is that an official source?
What's 68% of Kenya's GDP as per the newspaper?aren't your newspapers trustworthy?
View attachment 3296622View attachment 3296625View attachment 3296624
That's why I tell them they've turned a would-be office complex into a judiciary building. Doesn't scream anything judicialEven the new one is an urban concrete monstrosity. Ask anyone who knows a thing or two about architecture and they'll tell you that building has the character of saltless cold boiled potato.
Naona mikocheni Mimi hapa.View attachment 3295801
Nimehifadhi hii picha..., yaani Dar ukiondoa CBD hamna la maana hehehe, hii sasa ndio Westlands yao eti.., ama Upperhill hivi hehehehe
Ni hii, unataka ni reinventing the wheel? Kwanini nipige calculation wakati answer is boldly written on the wall?What's 68% of Kenya's GDP as per the newspaper?
Unataka uwaone hawa waganga huko ndio uamini hiyo ni judiciary building? They look like criminals after allThat's why I tell them they've turned a would-be office complex into a judiciary building. Doesn't scream anything judicial
Huyu mama nae, ndege mpya ya Rais kaipeleka wapi?
Cha kushangaza figures za Mombasa zitakuambia wanahudumia mzigo mkubwa wa DRC kuliko Tanzania lakini harakati zote hizi hawana 😂😂😂
Alafu wao kwao ni mpesa tu ndiyo mana anakuwa monopoly.Hii ndio refference yako.? 🤣🤣🤣
Skiliza Lipa kwa simu zipo kila kona ya Tanzania hii… na kila siku mobile money mitandao inaongezeka. Ever heard of Azam pay..? 👇🏾View attachment 3295771hii hauhitaji kuwa na sim card. Na ni useful hata ukiwa na kiswaswadu unabonyeza zako hizo USSD code unatumia.
Watu kwasasa tupo mbali sanaaa budaa. 🤣🤣🤣 we endelea kutupigizia kelele za Mpesa.
Ndiyo mana maisha yao magumu sn kwa kufurahi huo upumbavu wa investors. Yani wakenya wanaona dili investors kumiliki uchumi wao, wana mawazo potofu sana na hawatokuja kuendelea kamwe.Nyie hamna chochote cha kushindana nasi. Sera yetu ya maendeleo ni “ujamaa na kujitegemea”. Hapo kwenu wazungu wakitoa mitaji yao, wote mnakufa njaaa 🤣🤣🤣🤣 wazungu wakigoma kujenga, hata magorofa marefu mtaishia kuyaona kwa TV. You are not our competition. Sisi tunajiweza. Ndio mana tunamiliki uchumi wetu.
Hii Dodoma wallahi inakuja kupiga miji yote ya EA ambayo ni mikongwe sana.Hili jengo mbona limeshaisha tayari. 👇🏾.
View: https://youtube.com/shorts/WO0QVk4saQ0?si=xkBkks-Jcp54gX8M.
Nyie hamna chochote cha kushindana nasi. Sera yetu ya maendeleo ni “ujamaa na kujitegemea”. Hapo kwenu wazungu wakitoa mitaji yao, wote mnakufa njaaa 🤣🤣🤣🤣 wazungu wakigoma kujenga, hata magorofa marefu mtaishia kuyaona kwa TV. You are not our competition. Sisi tunajiweza. Ndio mana tunamiliki uchumi wetu.
Vilaza wawili wakijipa matumaini 🤣🤣🤣🤣Ndiyo mana maisha yao magumu sn kwa kufurahi huo upumbavu wa investors. Yani wakenya wanaona dili investors kumiliki uchumi wao, wana mawazo potofu sana na hawatokuja kuendelea kamwe.