chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,108
Nairobi expressway
View: https://x.com/Its_Nate_/status/1908474677929922988
MY TAKE
Hivi ni nn Kundustan inaweza?
IamLee Nicxie nairobae NairobiWalker mwathadan n Teargass
Unajifanya kipofu or something mzee wa sisikilizi mziki wa Tanzania ila unakula verse.Bra bra bra staki kusikia
Leta Efidens kwa kalataas
Hospital 🏥 building turned into judiciary, nothing about that building screams about law.
We nawe acha ujinga who Looking Validation kazi kujipa umhimu usiokuwepo. Hiyo "SEA" yako ni mashabiki wangapi wana jezi za timu za Derby? Mpo kutupigia kelele wakati watu wenyewe hawanunui hata jezi wengine wananunua kabisa hadi za Bongo wanaingia nazo uwanjani.The cycled part is the only non-AFC Leopards footbal team jersey. At this point i gather you're just looking for an argument or to descredit Kenyan football.
View attachment 3294616
...........and we do not have to be like you to wear exactly the same shirt. The other red stripped jerseys you see are Leopards' away kits. Stop looking for validation.
Unateseka ukiwa wapi?Hospital 🏥 building turned into judiciary, nothing about that building screams about law.
We nawe acha ujinga who Looking Validation kazi kujipa umhimu usiokuwepo. Hiyo "SEA" yako ni mashabiki wangapi wana jezi za timu za Derby? Mpo kutupigia kelele wakati watu wenyewe hawanunui hata jezi wengine wananunua kabisa hadi za Bongo wanaingia nazo uwanjani.
Imagine upo too proud na uzi wa yanga hadi kuwa kamati ya kuhesabu hela?
View: https://x.com/Roro_miles/status/1896877926936965612?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1896877926936965612%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=
Mzee, Punguza kujipa umhimu sana while the reality inakuumbua
Hizi ni habari za mwaka gani unatuletea leo.?Mzee shukuruni sportpesa ku sponsor timu zenu, wakati walipokuwa Everton na hull city hizo jersey zilivaliwa sana Kenya.
Giza tupu 🤣🤣🤣
😂😂 Anza kutafuta Kamba ya kujinyonga Mapema.Giza tupu 🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiona bongolala amekutusi hapa, we jua akili yake imechemka ameshindwa kuthink critically. 🤣 🤣 🤣 Primary school dropouts ni wengi sana hapa.Wanakuambia masomo yao ni Bora yet when it comes to anything technical it's always us teaching them. Kitu wanajua ni matusi ya ujingaujinga tu.🤣