tofaut ni nn ??? roofing hii mpya ile ya zamani au?? πππππKasarani inawapea baridi kweli kweli, na imagine bado haijaishaπππ.
Ati Roofs zinafanana.ππ
This was Kasarani Before
View attachment 3289438
Kasarani now
View attachment 3289439
wivu unawasumbua sana wajinga nyinyi tena munafaa muishkuru sana azam imewaamsha wapumbavu nyinyiππAzam will not last in Kenya, nobody wants them.
View: https://x.com/khtsa_/status/1906730074801381857
That what happens when you do things as a knee jack reaction to inferiority complex. Air Tanzania was revived as a result of public pressure and embarrassment in reference to a superior neighbor ( Electified SGR too) but both were not ready for prime time. That part. The lesson here: compete at your level and donβt bite more than you can chew ( ask Mexico and Canada , they move at their own pace not trying to outdo their superior neighbor) ππHasara Tanzania wenye ndege za cash. π€£ π€£ π€£
View: https://x.com/cobbo3/status/1906662924610879629
Upo dunia gani wewe.Utakufa bure kwa pressure.,, unajua kutofautisha smart na digital?. ., umechanganyikiwa naonaπ€£π€£π€£π€£
Dunia ya kutumia "frying pan" inapitwa na wakati kwa kasi, mambo ni fibre jibwa koko.Upo dunia gani wewe.
ππππ so tukisema digital ni uzamani digital and smart ππππ₯
Kama unahitaji dish sema upewe azam saiv tuna campaign ya kiwashe nikwambie tutakiwasha adi kenya mtalalamika sana nyie mbuzi πππππ
Hivi kwnn hawa jamaa hawatairiwi π€£π€£π€£Hivi umegundua wengi wanaoponda Azam ni wale majina yanayoanzia O!
Ndio maana yanatembea na magovi. πππ
Sasa kama ni hivyo, kwanini msi dowload Azam tv application.?Yaani mko karne ya zamani sana, nani ananunua dish huu wakati!! hii ni ya mafukara wa vijijini, in Kenya almost every appartment and houses have internet connection, TV siku hizi ni smart, una download App ya DSTV, uko na Netflix, Youtube, n.k sio kung'ang'ana na ma wire juu ya roof na scrape metal eti dish, ushamba itauwa Watanzania walaiπ³π³, tunaongoza mnafata.., mishamba Pro Max!ππππ
Azam iko down ukilinganisha na other trendy apps, standards zenu ziko way below!., mbona na nyie mnaweka masufuria kwa roof instead of buying smart Tvs?Sasa kama ni hivyo, kwanini msi dowload Azam tv application.? View attachment 3289943Badala yake mnalia kwa kukosa acces juu watu hawana Azam decoders.? π€£π€£
Ila nyie ni mafala sana. Unakuja hapa kudai oooh eti huko kwenu kwasasa ni mwendo wa ku download Apps. π€£π€£π€£π€£
Again.. Tz vyote tunavyo ni option ya mtu aamue afanyeje, na ni fahari kwetu kumiliki dish mingi + hizo smart TV. kwa maneno mepesi wabongo wanajiweza.
punguza uongo, wivu na chuki ππππAzam iko down ukilinganisha na other trendy apps, standards zenu ziko way below!., mbona na nyie mnaweka masufuria kwa roof instead of buying smart Tvs?
Watangojaa saana!Tatizo ni ngumu sanaa kuchakachua kisimbusi cha Azam. Kenge wengi wa North wanatumia DSTV bila kulipia kwa kuchakachua frequency zake kwa kutumia yale madekoda malaya na LNB za kusuka...
Ni ule uhuni wa kisimbusi kimoja kutumika mtaa mzima. DSTV wanaishi kwa hasara kunyaland... Hawana hela ya kununua haki za ku rusha hiyo ligi ya kuchezea kwenye mazizi ya ng'ombe.
Azam shikilia hapo hapo.... Hakuna kuacha loopholes za kupata Channel za bure... Vunjeni mkataba mumlipe hela zake.
Si uongo, kama wangekua trendy basi wakenya wengi wangeitambua lakini wapi!.., section yao ya sports can't compete with Supersport ata robo!.., iko wired for Tanzanians not East Africans, ata Waganda niko sure hawaitambui..,punguza uongo, wivu na chuki ππππ
wakenya wengi sana wanaitambua azam tv na coast ya kenya karibu yote dish za azam zimetapakaa, nairobi mpaka kisumu dish za kutosha hata kati i was in migori wengi wanatumia azam tv, punguzeni wivu na chukiSi uongo, kama wangekua trendy basi wakenya wengi wangeitambua lakini wapi!.., section yao ya sports can't compete with Supersport ata robo!.., iko wired for Tanzanians not East Africans, ata Waganda niko sure hawaitambui..,
Mombasa ni base yangu, hapo umedanganya, uongo kabisaaa.., pengine Watanzania wanao ishi huku na wapwani wenye relatives kutokea Tanzania., internet connections, DSTV na GoTV ni zaidi ya Azam by far!!!,..., na kwa wingi wa smart na digital TV nani ananunua decoder?.., wachache sana!!!wakenya wengi sana wanaitambua azam tv na coast ya kenya karibu yote dish za azam zimetapakaa, nairobi mpaka kisumu dish za kutosha hata kati i was in migori wengi wanatumia azam tv, punguzeni wivu na chuki
supersport iko kwa ajili ya english premier league kwa soko la kenya hakuna kingine, lakini azam anachofanya ni kufufua mpira wenu uliokufa kwa miaka kadhaa ndio maana hata unaona wengi wenu munafurahia league yenu imefufuka yote ni juhudi za azam πππ
Watangojaa saana!
FKF unveils Azam TV as official Premier League broadcast partners
The Tanzanian Pay TV will broadcast four matches per weekend after the international break.www.standardmedia.co.ke