Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Since wakutoe marinda,matako yako na yenyewe fake
 
Analazimisha watu waumie kwa kuandika anapenda watu wakiumia! 😂😂😂
Yaani 60k fans analinganisha na 17k fans!
Hapo ndio unaona namna gani we take things for granted sisi tunaona kawaida sana kumbe wapo watu wanatamani hata wauze Figo wafike levels zetu, nakuambia siku Kunyaland ikipata BRT, electric trains dunia itasimama yote 😂😂😂
 

...wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza
So kwenye hiyo bar, mijitu hawajawahi kusikia timu inaitwa Gor Mahia, the only regional club with a continental trophy?? Wao wanajua tu Yanga na Simba!!

...mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo
So hao wadau 'wadau' wako hawakujua kwamba Kenya Kuna uwanja wenye capacity ya 60k?🤣🤣

...wakauliza mbona uwanja mbaya hivi?

Kijana wa Tandale, uwanja mbaya aka makwapa ipo Dar na ilishapigwa ban na CAF kitambo sana. Hao 'wadau' wako are they even aware of this?

Bongolala, your desperation levels have hit the ceiling
 
Kwahiyo hii comment ya mpumbavu mmoja huko face book ndio nini yani.? 🤣🤣🤣 yeye ni nani.?
 
Mmekula pesa yetu imechangamsha league yenu mnajifanya mnataka superstore.Je muda wote hao superstore wamewapa nini? Mbona mlikuwa hoi alipokuja Azam ndio mmechangamka kidogo.
Superstore ndio nini?

Alafu pesa ni za Mwarabu, ama you have a stake at Azam? Again for your information, Azam didn’t re-energize Kenyan league, the league has become lively because of the new KFK leadership. Yule wa kitambo alikuwa bure sana, jamaa angekuwa hadi saa hii hata hile game ya Kenya Vs Gabone haingechezwa nyayo. Jamaa angeipeleka hata Burkina Faso hili apate Risk, commute allowance and unimaginable allowances, yule jamaa alikuwa mkora.
 
Huyu naye anakaa homeless. Ako na kiatu na trouser moja, kwa picha zake zote zenye amepost hapa jamaa ako na the same shoes and trouser at different places, meaning hizo pekee ndio ako nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…