Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna link kanipostia hapo nimefungua nimecheka sana. 😂😂😂
Kijamaa kinajaribu kugusa gusa kila mahala kikidhani labda kuna sehemu atatoka mshindi. 🤣🤣🤣

Sasa ni kapumbavu kwasababu kanadhani inawezekana eti league iwe nafasi ya nne Africa halafu kuwe na mapato hafifu..

sasa ingewezekanaje kuiendesha.? Wachezaji wa quality kubwa utawalipa vipi pasi na kuwa na fedha za kutosha.? Na hizo fedha zinatoka wapi kama si gates collections, mauzo ya jezi wadhamini.?
 
Pesa za Shabana Fc half season
 
Nilimuambia anipe mapato ya timu hadi muda huu hamna kitu.
 
Fake, it's Afc leopard vs Gor Mahia. Home team ni Afc
Hao sindio wanaochezaga mashemeji dabi.? 🤣🤣🤣. Hizo pesa tunataja sisi yeyote kati ya Simba na Yanga wakicheza anaeza kupewa inategemea nani atakua home team siku hiyo.
 
KUMBE KIPINDI CHA JPM MAVI YALIKUA YANAGONGA CHUPI HUKO UKUNYANI ASEE 😂😂😂
 
Gor collects Ksh8M per game in gate collection. Multiply that by 19 home games then multiply by 20.5 to get your figures in pesa yenu ya madafu.
Weka hapa.

Mbwa wee Gor Hii wachezaji waliishia kulala airport au nyingine?







We Kenge unadhani sisi wote wajinga.

Imagine timu yao kubwa ina huu ujinga vipo hizo ndogo ndogo.

Alafu ufala wa Kutuletea 2k seats eti filled ni upuuzi nenda mkashindane na KMC complex sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…