Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ni ujinga sasa, nioneshe mapato ya hiyo takataka umetaja hapo kwa mwaka.
Umetoka kwa gate charges after umepata mangumi nzito nzito Umerudi kwa general revenue? Just like I said, acheni kuingia stadium free of charge😂😂
 
Umefika chini town hapo kenya labda 🤣🤣🤣
I posted my photos in China here. Labda lile demu lako leusi halikuwa limekununulia simu bado. Uliza wenzako walioziona watakuambia. Sisi hatutembei kutoka mji mmoja nchini kwetu hadi mwengine alafu tunajiita travellers. Wewe endelea kututupia picha ukiwa kwa basi ukienda Tanga. 🚮🚮
 
Yanga collects the same amount gate collection as Shabana despite Yanga playing their home matches in a 60k stadium while Shabana only plays their home matches in a 15k stadium😂😂🤣😂
Ati.? 🤣🤣🤣 hizi ni taarifa za 2020 na still Yanga aliweza ku collect 5 times than Gormahia collects 2025. 👇🏾
 
Alafu mwisho wa season wakapata 800M? Now minus 545M from 800M, utabaki na ngapi?😂😂😂

The sult is 300M for the remaining 18matches, so technically one home match they got a 14M Tanzanian money which translates to 690K Kenyan shillings 😂😂🤣😂
 
Wewe labda ni zuzu unaijua 14 million Tz money.? 🤣🤣🤣 hiyo ni pesa ya viingilio vya watu elfu 1 waliolipa regular. ndani ya uwanja wa watu 60k.

Uendeshaji wa team moja Tz. Simba let say gharama zake unaweza kuendesha ligi yote ya Kundurenda.

Yanga inakusanya 545 million Tz money 2020 report says 👇🏾which is 28 million kenya sh 👇🏾hii ni report ya miaka mitano iliyopita. 🤣🤣
 
Sasa ligi ina mapato ila wachezaji wanakufa njaa na kuuza mechi kwa wacheza kamari!?

Hiyo pesa nyingi ya kiingilio inakwenda wapi sasa kama timu zinakopa wachezaji mishahara hata miezi 3 wanatolewa mswaki!?

Au ndio muendelezo wa upishi wa namba! Maghorofa ya maboksi tu.
 
Angalia hii “dabi” 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…