Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida sio kununua ticket, shida uwanja umejaa. Yani ticket zimeuzwa zikaisha. Wacheni unafiki.
Hawataki kukubali kwamba the stadium was fully sold. Hata kule Kisii kuna mashabiki wa Shabana wamebaki nje juu uwanja ulijaa.
 
In short, hujatoka Tanzania. Huyo unayemquote ametembea nchi yake akamaliza akatoka nchi yake akaingia nchi yako. Sasa wewe hujatoka nchi yako alafu unamwambia asiongelee nchi yako ambayo ashaingia. Wewe mwenyewe kila siku unaongelea nchi yake na hata mpakani mwake hujafika. Tukisema kila mtu aongelee nchi ambazo ashaakanyaga pekee wewe utakuwa miongoni mwa wale ambao watakubalika kuongelea nchi yao wenyewe pekee.
 
Hawa ni watu 17k kwene huu uwanja unatupigia kelele.?. 🤣🤣 hii ni full house 60k+ people.👇🏾 hadi wengine wanabaki nje.

Hii itawachukueni mwongo mmoja labda kufikia.
 
Nchi ipi ulitembea we mbwa.? 🤣🤣🤣
Post picha zako hapa huko nchi ulizofika.

Hapo kwemu kenya emyewe ukiachana na kijijini kwenu ulipozaliwa, labda ulifika Naipori pekee.

Kwani kufika Tz ni makka hapa.? Si ni suala la pasport tu.? Unajua kama kutoka Nairobi kufika Arusha ni karibu, kuliko kufika Dar.?

Sasa mimi nimesafiri maelfu ya kilometa hii Tz, ningefanya hivyo huko kwenu labda ningekua nishazunguka kenya yote mpaka kule jangwa na nusu ya Uganda. 🤣🤣🤣
 
Nchi ipi ulitembea we mbwa.? 🤣🤣🤣
Post picha zako hapa huko nchi ulizofika.

Hapo kwemu kenya emyewe ukiachana na kijijini kwenu ulipozaliwa, labda ulifika Naipori pekee.
Naongelea NairobiWalker . Mimi mambo yangu huyawezi wee kima. You're the only person on this forum who brags about travelling in his own country. Jiulize hayo maswali.
 
Bila kulipa
Kuna dabi ipi imeshawahi kuchezwa bila viingilio.? 🤣🤣 au unazusha habari zisizokuwepo.?

watu 42k wabadai kurudishiwa viingilio vyao baada ya mechi ya Simba vs Yanga kuhairishwa. Wewe unasema ni mechi za bure.?
 
Hii si ni hile washabiki walikubaliwa kuingia bure?😂😂

For your information Nyayo is 30k full parked.
Kunakua na dabi mbili kila mwaka, unatakanipost picha za dabi ipi.? 🤣🤣🤣

Ulifkiri sisi ni nyinyi.? 🤣🤣🤣 mara zote dabi ya Kariakoo inapiga full house.
 
Ati umetoka Tanga hadi Dar sasa hilo ni la kuringia watu. Unaitaji exposure wee baboon.
Mbona unanirudisha Tanga hadi Dar.? 🤣🤣
Nimeishi au kufika na kukaa walau wiki moja mikoa 20 Tz hii.
Achana na ile mikoa ambayo nimeputa njia tu. 🤣🤣🤣

Ningefanya hivyo kenya, ni umbali wa kuizunguka kenya nzima na Nusu ya Uganda..
wewe umesafiri wapi mbwa hii.?
 
Kunakua na dabi mbili kila mwaka, unatakanipost picha za dabi ipi.? 🤣🤣🤣

Ulifkiri sisi ni nyinyi.? 🤣🤣🤣 mara zote dabi ya Kariakoo inapiga full house.
Derby za kuingia free usituletee hapa tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…