Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo atakusumbua mzee hana mia mbovu huyo mbwa. Juzi juzi tu alikua ananisumbua DM kutaka kujua chupi za bei rahisi bongo. 🀣🀣🀣 we muache tu ajifurahishe.. usijishushie heshima kupigizana kelele na hiyo takataka.
Wewe hata hujaishika 10k in your entire life.
 
Siku hizi hawataki kabisa kusikia Habari za battles πŸ˜‚πŸ˜‚ sio kama zamani walikua wenyewe wanaforce battles, saivi ukiwaambia battle wanavanish kama spirit wameshajiona walipo.
Data za uhakika hawazitaki,ukiona kuna data wanayoisapoti basi ni ya kupikwa,hao kunyan ni maskini wa akili
 
Hamtokaa muwe na BRT network tulionayo, electric SGR, JNHPP, water projects, number of universities, quality hospitals, roads, agriculture infrastructures etc
Kuna infrastructure inaitwa electric SGR? Kuna infrastructure hii Dunia pia inaitwa JNHPP? So Kenya hakuna water projects? Kenya has 59 Universities against Tanzanian 17, Kuna infrastructure pia inaitwa quality hospitals? Agriculture infrastructure ni kama gani.
 
🀣🀣 mjomba unataka kila mtu ubishane ae kuhusu hela.. halafu wewe ndio huna. 🀣🀣
Wewe sio kila mtuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mbona hupendangi mambo ya hela? Shida ni kuikosa ama?
 
🀣🀣 mjomba unataka kila mtu ubishane ae kuhusu hela.. halafu wewe ndio huna. 🀣🀣
Naona umelia sana. Actually this month I invested a total of Ksh 129,000.

But kwanza anza na hii



Receipt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…