Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kasome vzr ndio maana hua nawaambia nyinyi hamuna akili yale madeni yote yamewekwa pembeni kwenye hesabu mpya ndio munadanganywa ni profit

ila wakenya ni kama kondoo aisee😂😂😂
Waulize swali dogo tu, loss ya mwisho ilikuwa ngapi na faida ya sasa ni ngapi alafu waambie watoe kmy kmy.
 
Footballing nation 🤣🤣🤣🤣
Sisi tuna ligi bora, kiwango chetu cha uchezaji na wachezaji mpira ni kikubwa sana ila tuna tatizo kubwa kwa sasa tangu huyu Wallace Karia yuko madarakani. Tatizo letu ni bench la ufundi.

Mimi masaa mengi kabla ya mechi niliongelea hili na kutoa tathmini ya matokeo.


View: https://x.com/KipepeComrade/status/1904578935976865922

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1904576463723995214

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1904578935976865922
 
Asante kwa ku compare Temeke (uswazini) to your best place in Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…