Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Infact Kenya's case is better 90% of your GDP is owned by 1%....62% is your value...Kenya is way ahead of tz in everything
62% of GDP is owned by 8300 people, out of these 62% are foreigners who own 62% of total GDP which is owned by 8300 people.
1) Calculate percentage of people who die of hunger daily
2)What is the rate of people who migrate from better houses to Slums per year?
3)Should these citizens allowed to enter a country full of milk and honey by just using their ID(kipande)?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kelele ambazo mnapenda kusikiliza na kuzitafuta kwa Kenyan Section of JF. Ushawahi niona nikichangia kwa Tanzanian Politics?
Huna akili ya kuweza kuchangia katika politics ya nchi nyingine yoyote ile, hata Kenya yenyewe mambo mengi unayajua kupitia watanzania, ukiondoa ukabila, rushwa na slums, what else do you know about Kenya?
 
Haha the day you learn to say the truth lets argue
 
Huna akili ya kuweza kuchangia katika politics ya nchi nyingine yoyote ile, hata Kenya yenyewe mambo mengi unayajua kupitia watanzania, ukiondoa ukabila, rushwa na slums, what else do you know about Kenya?
Ya Tanzania hayanihusu nashangaa ya Kenya yanakuhusu vipi unless ni wivu kama Barbarosa alivyoelezea humu JF.
 
Ya Tanzania hayanihusu nashangaa ya Kenya yanakuhusu vipi unless ni wivu kama Barbarosa alivyoelezea humu JF.
Mbona hata ya huko kwenu hujui kitu?, akili zenu ni ndogo sana kuweza kujifunza na kujua mambo mengi ya dunia
 
Huku kuna pesa ,si kama hapo kwenu niliona ati event ni ksh.500 na bado si sold out.
Pia inafaa ujue msani wa bongo akikubalika kenya ameshapenya Kabisa...eg Ali kiba na Diamond.
wenye najua na kuskia
 
Huku kuna pesa ,si kama hapo kwenu niliona ati event ni ksh.500 na bado si sold out.
Pia inafaa ujue msani wa bongo akikubalika kenya ameshapenya Kabisa...eg Ali kiba na Diamond.
wenye najua na kuskia
Kama kuna pesa mbona wasanii wenu hawana cha maana kuwazidi wabongo?mbona hamwakubali wa kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…