Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,037
- 107,536
Ni Kimbali bwana Babu usiwaweke matawi ya juu hao jamaa!Me nakwambia kaka hawa mbwa watachinjana kuliko kimberley ngoja muone. Na nina wasiwasi baada ya 2027 nusu ya wakenya wa humu hawataonekana mana wengi watasombwa na hayo mauaji.
These guys siasa mpaka chooni
Huyu jamaa atulie kidogoo.. JPM Bridge inafunguliwa soon!
umeshasahau mlikuja kuzima magari ya maji washa na police armored vehicles in Tanania mwaka 2007.Unatusumbua almost 1 decade later. Ndio kwa maana hua tunasema nyinyi ni washamba.
View: https://www.youtube.com/watch?v=f5YIJvtS1EM
Hatimae vyuma chakavu vimewasili US made good its promise in exchange for Kenyan police deployment to HAITI.Ooohhhh sijui tulianza kuziona juzi. Kwako 9 years ago ni juzi? π€£ π€£ π€£ Nimekuambia uwache ushamba, unatuonyesha gari tano unadhani ni flex. Sisi tumezizoea na ndio kwa maana ziko more than 200. Wewe unaona kama gari tano ni achievement. π€£π€£π€£ Na ujue hizi ni MRAP sio hizo APC tudogo umepost, sidhani hata polisi wenu wakona MRAP by the way. π€£π€£
Hizi hapa ni za 2024
2025
So we came to borrow from you something that you donβt have?umeshasahau mlikuja kuzima magari ya maji washa na police armored vehicles in Tanania mwaka 2007.
Your armored vehicles are uglier than the ones used in world war 1.Hatimae vyuma chakavu vimewasili US made good its promise in exchange for Kenyan police deployment to HAITI.
huku hakuna tofauti na Bangaladesh
2022 ulisema tutachinjana na hatukuchinjana, tena umeanza na 2027. Akili yako iko sawa kweli wewe watchman?Me nakwambia kaka hawa mbwa watachinjana kuliko kimberley ngoja muone. Na nina wasiwasi baada ya 2027 nusu ya wakenya wa humu hawataonekana mana wengi watasombwa na hayo mauaji.
Who am I go argue with a baboon.Ona mikono hiyo. π€£π€£ππΎrangi na uso huo View attachment 3282714View attachment 3282713π€£π€£π€£
Tanzania has higher chances of losing the AFCON hosting right than any other country. Hamna stadiums.Hawatoaandaa afcon, hawa jamaa ni uncivilised kutakuwa na vurugu za kutosha 2027, serikali yao baada ya kugundua hilo wakawashawishi uganda zen wakaja kutuomba tuandae wote ili tu 2027 kusitokee maafa, but 100% hakuna afcon kenya na watauwana kuliko kipindi kilee.
Tanzania has higher chances of losing the AFCON hosting right than any other country. Hamna stadiums.Hawatoaandaa afcon, hawa jamaa ni uncivilised kutakuwa na vurugu za kutosha 2027, serikali yao baada ya kugundua hilo wakawashawishi uganda zen wakaja kutuomba tuandae wote ili tu 2027 kusitokee maafa, but 100% hakuna afcon kenya na watauwana kuliko kipindi kilee.
Does that sticker really looks like manufacturer's emblem?
Jione hapa ulivyosimama. π€£π€£π€£ππΎ
Anataka kupaa au πJione hapa ulivyosimama. π€£π€£π€£ππΎView attachment 3282847View attachment 3282848