Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo usikose kuoga, sawa?
View attachment 3282095
Screenshot_20250323_185418_Gallery.jpg
downloadfile-381.jpg

Sawa
 
That is the worst of the worst in Nairobi, but in Vumbistan, hizo nilizopost are the ONLY ones. Infact sikuchagua picha mbovu, I just took a random photo in the streets and all if them are that model. Btw, hiyo hiace umepost ni newer model kuliko yenye from my Arusha photo.
Kwahiyo hapo kumbe battle ni Nairobi vs Arusha..? 🤣🤣🤣 BTW hizo ni daladala za mitaani tu, safari za less than 20 km. In Nairobi si far vitu zinakaa hivi. Vipanya kibao tena vile vipanki. 🤣🤣👇🏾
IMG_5859.jpeg
 
Kuna pesa hosting nation hupewa. But how will you know when hata kuhost sherehe za kuchi ja imewashinda?

Again those cars and gadgets were ferried by Kenya airways. Najua wivu ndio inawasumbua wewe mkimbizi.
mulipewa bei gani ikiwa munatumia over 1b ksh kutoka mfukoni mwenu 😂😂😂

eti zililetwa na kenya airways 😂😂😂😂

akili zenu nyinyi zimejaa funza kila politician anawaza kuiba pesa tu
 
Tembea kwanza. Fika Nairobi ndio ufike ligi ya kupingana nami. Vuka border for once utoke Bongolala. For now endelea kubishana story za Simba na Yanga hapo vijiweni. You're not my mate.
Fala umefika bongo unaona umefika ulaya .? Tena bongo enyewe Arusha ambayo unavuka kimagendo 🤣🤣🤣🤣 choko kweli hili jamaa. Hapa kundurenda kuna nini cha kuona.?

Tena kufika kwako Arusha enyewe ni kwasababu Arusha na Naipori ni pua na mdomo, fika hata Dar uone treni ya umeme na blue buses. 🤣🤣🤣 kama kweli unajiweza.

Unafika Rusha unazurura kwa miguu kama mbuzi. Eti unasema i am not your mate. 🤣🤣🤣 vutuko vya dunia hii
 
That is the worst of the worst in Nairobi, but in Vumbistan, hizo nilizopost are the ONLY ones. Infact sikuchagua picha mbovu mtandaoni, I just took a random photo in the streets and all if them are that model. Kama hiyo ndio average yenu Sasa nikipata worst of the worst itakaaje? Btw, hiyo hiace umepost ni newer model kuliko yenye from my Arusha photo.

View: https://vm.tiktok.com/ZNdRSWSns/ sawa,hii min bus ni new model ya 2025
 
Tembea kwanza. Fika Nairobi ndio ufike ligi ya kupingana nami. Vuka border for once utoke Bongolala. For now endelea kubishana story za Simba na Yanga hapo vijiweni. You're not my mate.
downloadfile-80.png

Naipumbu ipi unayooiongelea,ya kwenye hii picha au nyingine 😂
 
Back
Top Bottom