Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image
Perfecto slum view kama Gaza
 
Alibrag hapa ati ako America in 2015 akiwa amevaa viatu vya 2001 (omba omba on the down low )🤣🤣
downloadfile-328.jpg

Kubwa jinga nimeona unamdiss mjukuu wako wa kike,we fala kweli na miover size yako ya kuokota,kutwa kuitaja america kwenye kila post,hii picha uliipiga kwenye miaka ya 90,I guess now uko over 50 ila ushamba bado upo kwenye damu 😂
 
Wewe oga mchafu hii. Tifauti yako na nguruwe na kwamba huna mkia, lakini kwa harufu ,mnafanana sababu huoendi kuoga.

View attachment 3281265
Wewe kichwiri nani sasa kakutalia kama hajaoga,ukioga ww msafi wa mathare mental institute ndio unataka ulazimishe kila mtu aoge,na vikono vyako vya ombomba,2024 bado unatumia headphone za miwaya mshamba😂,kunya washamba sana
Screenshot_20250323_185418_Gallery.jpg
downloadfile-381.jpg
 
Kijana hata mimi naweza kwenda CHATGPT nikapata hizo mambo upande wa Tanzania.

Eti Masai Mara DoorMat ya Serengeti ni Better than Serengeti itself World Largest Animal Sanctuary? Kama si usenge nini?

Reality on the ground hizo ni siasa. Kama hayo yote mnayo HOW THE F*CK CHAPATI INAKUA ANASA HADI PRESIDENT OF THE MOST DEVELOPED COUNTRY IN EAST AFRICA ANAAHIDI WANANCHI MTAMBO WA CHAPATI? 🤣🤣🤣🤣

Hapo Infrastructure hebu kua na aibu Airport milango inategeshwa na Jiwe, Inavuja, blackout, Nchi nzima mnategemea JKIA ikizingua zinaenda KIA which just one of International airport in TZ.

Transportation iliyo jaa chai maharage outdated buses?
Kenya is developed online bro.
Kenya ukifika kwa ground unakuwa disappointed

Eti Technology and innovation 😂🤣
Niliuliza hapa, if Nairobi is a tech advanced city, why no city card or city mobile application to access Public services? City zote advanced duniani zinatumika city card or mobile application or national ID iliyounganishwa na benki kuaccess public service
Njoo Nairobi Sasa,

Dar and Tanzania is more advanced than Nairobi and Kenya kwenye technology na innovation shida yetu tuko kimya na hatumarket our achievements
 
Bro, wacheni unafiki. Kila siku mko humu mkiringa na hiyo HAL ya Arusha ambayo inafanya hiyo hiyo assembly. FAW walipofungua assembly plant hapo Darislum hatukupumzika humu alafu ikija kwetu mnajifanya eti assembly sii lolote. Hizo hizo marcopolo mkianza kuziassemble hapo Vumbistan humu itakuwa 'kama Brazil Mwananguu' Kila siku.
We nawe una upuuzi or something.

Umeona tunajimilikisha hizo kama nyie mnavyojimililisha SCANIA na POLO hata itokee Brazil mnadai yenu, hata itokee CHINA mnadai yenu.

Tuoneshe ni wapi kila tukiona HOWO or FAW Kenya tunajipa umhimu ni Made in TANZANIA


Unaweza linganisha kufunga nati na HAL kweli ambaye anafumua na kuconvert kuwa tour Van tena za kiwango kikubwa.

As usually comparing the incomparable.
 
Hii nchi imefilisika lakini inatumia hata hizi mashilingi shilingi kuwaempower wazungu wawalishe wakundustan vumbi

View: https://x.com/Kenyans/status/1902640031174406169?t=B6oVn8IrrlcnVf2cw-O1LQ&s=19

Wanaotafuna pennies za mafala
View attachment 3281381View attachment 3281382


Flower girls wa wazungu, hawa watu mbona wapo idle and shallow hivi?
View attachment 3281383

View: https://x.com/SinaTaabuMimi/status/1903827221657129383?t=vDHGRhDuIdSEjPWydVAgiw&s=19

Yaani kwa akili yako, hizo hela zinagawiwa madereva wa wrc 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom