Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3278446
miradi ya usd 4mil ndo wanaleta hata yutong 50 za Abood zimezid dhamani y miradi yao
Huyo mjinga nilipogundua ni fake ndio mana nikamkataa kwenye battle zangu kwasababu mm sipendi watu wa kuongopa ili mradi aonekane ameshinda, huo unakuwa utoto na uchale at the same time, hii battle lkn kuna watu wanafuatilia humu tena wengi kuliko tunaochangia, sasa unapoongopa mradi uonekane unacho kaa ukijua unapotosha maelfu ya watu.
 
🤣🤣🤣 ever heard of Mafia island.? Barabara zake zinakaa hivi. 👇🏾View attachment 3278577View attachment 3278578
kina mpaka uwanja wa ndege! Zanzibar na Pemba ndio asiseme kabsaa!

Ukerewe Island Lake Victoria!

View: https://x.com/TanzaniaWelcome/status/1492185758538637318

View: https://x.com/east_facts/status/1510622373917212680

View: https://x.com/hallaboutafrica/status/1089525926600368129

Dx7F9UfX0AEDAKg

lake_victoria_map.jpg
 
Huyo mjinga nilipogundua ni fake ndio mana nikamkataa kwenye battle zangu kwasababu mm sipendi watu wa kuongopa ili mradi aonekane ameshinda, huo unakuwa utoto na uchale at the same time, hii battle lkn kuna watu wanafuatilia humu tena wengi kuliko tunaochangia, sasa unapoongopa mradi uonekane unacho kaa ukijua unapotosha maelfu ya watu.
kawaiadaya mtu maskini ni kujikweza msamehe bure . huyo akitumia usd 100 kwa siku lazima atapost tu.
 
Maghala ya chakula wanaita industrial park na wamnaandika hivyo mpaka kwenye country statistics, wakaguzi kutoka mashirika makubwa duniani wakikagua utasikia Kenya imeshuka mpaka top 50......
Hivi Kuna industrial park ya usd 3mil kweli.
Hiyo ni gharama ya installation ya mizani na umeme Tena zile transformer za 850kva
 
Zanzibar is not mainland Tanzania. That’s why they have their national team and President.
So what is the united republic of Tanzania?
Where did Tanzania evolve it's name from?
Zanzibar is not mainland Tanzania. That’s why they have their national team and President.
Unaweza tuletea bendera na wimbo wa taifa la zanzibar
Which currency does Zanzibar use?
 
Back
Top Bottom