Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And I said in Tanganyikans' view no city can relate. This is just Westlands alone. Show me any city with such a view outside the CBD ndio utuambie hiyo keleleView attachment 3278037
Achana na hayo mambo ya kitoto hata Burundi anafanya, maumivu mengine haya hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hiyo ni fact na sio opinion, kama wanabisha waje na evidence.
 
Bye bye everyone πŸ‘‹ πŸ‘‹ πŸ‘‹ πŸ‘‹

Watchman Nicxie jamaa karudi tena bhn, ila sasa kaja kwa style nyingine πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

My take: Makenya yameumia mpaka yameshindwa japo kukoment πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•πŸ–•
 
Unaweza kuelezea kwa nini hilo daraja limerefushwa kwenye huo mfereji?
That area is always swampy and bridge had to cover the entire area. At high tides those dry places are usually covered with water.
 
asante kwa kubadilisha gear angani πŸ˜‚πŸ˜‚

ndio maana munaburuzwa kwa uwongo kila siku, inamaana kenya so far hamuna mradi wa maana zaidi ya talanta ambayo ni PPP ya mchina ???? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We have so many of these projects we can barely keep track.
Na zote ni kubwa kuliko your biggest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…