joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi Kenya kwenye list ya LDCπππ
π pole sana.[emoji2] [emoji2] [emoji2] mpaka mwaka uishe bulgaria itakuwa na $150bn sasa wewe sjui data zako umeokota kibela???
uhusiano na museveni wala si uganda at large....kwanza fatilia historia ya mseven kaguta uijue vzr alaf urudi hapa tuendelee
mseven kalelewa ikulu tanzania kasomeshwa tanzania na kapewa urais uganda na tanzania baada ya vita ya tanzania na idd amin, history ndugu
View attachment 656845 View attachment 656846
Please explain broi understand sanaπππππ
Kenya iko wapi kwenye list ya LDC duniani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tafuta kwenye google utaiona hilo list ya nchi zenye njaa zaidi duniani, acha uvivu kutafutiwa information, Kenya ipo kwenye hali mbaya sana, wewe endelea kujifungia huko Kibera bila kutafuta information.
Tafute google utaona nchi zenye njaa zaidi na watu wake wanakufa kwa njaa, lakini nchi yenyewe ipo kundi moja na USA?Please explain bro
Kenya iko wapi kwenye list ya LDC duniani?
So you don't have supporting evidence is just the way you think?. Kuna watu kama millioni 4 toka Mombasa wapo Tanzania kwasababu wanajua Kiswahili vizuri.ugandans are just like kenyans,they know how to speak English well and are very social i think they are over 3 million in kenya
Kenya na USA hazimo kwenye list ya nchi zilizoko LDC.Tafute google utaona nchi zenye njaa zaidi na watu wake wanakufa kwa njaa, lakini nchi yenyewe ipo kundi moja na USA?
Hiyo ipo wazi, Kenya ipo kundi moja na USA katika kundi la Developed countries, imeingizwa huko pamoja na njaa yake na mabanda yake ya nguruwe ya Kibera[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kenya na USA hazimo kwenye list ya nchi zilizoko LDC.
hujui history vzr broππππππuhusiano na museveni wala si uganda at large....
nitajie vitu mnazidi 254 kule ??? uganda
tanzania gani? hii ni nchi hata haitambuliki kama ni nchi ama mjiHahahaha ata South Africa ile wanaimba hapa waliikomboa haiwatambui?ππ±π±
haha wako hapa kusoma na kufanya biashara..masos wako hapa kujinycSo you don't have supporting evidence is just the way you think?. Kuna watu kama millioni 4 toka Mombasa wapo Tanzania kwasababu wanajua Kiswahili vizuri.
leta official sourceugandans are just like kenyans,they know how to speak English well and are very social i think they are over 3 million in kenya
Tanzania wants...haha...Kenya has already built....Kenya does not want
.Hapa JF ni sehemu ya kupigana vijembe kwahiyo kila mtu anavutia kwake, lakini ukipitia kwenye magazeti ya majirani zetu ambako ni wao wenyewe wanajaribu kutoa maoni kuhusu Tanzania, huko ndiyo utaona ukweli jinsi wanavyoizungumzia Tanzania na Magufuli kwa ujumla
Haha wakenya wapo huku wamekuja kununua ardhi na kujishughulisha na kilimo na wengine wanafanya biashara ya mazao kuleta Kenya, ni zaidi ya 4M actually.haha wako hapa kusoma na kufanya biashara..masos wako hapa kujinyc
under construction ππππ hata nyie ujenzi badoTanzania wants...haha...Kenya has already built....Kenya does not want
hakuna mgeni anaruhusiwa kumiliki ardhi tanzania sema hua wanawekeza na kuingia ubia na mzawa ππHaha wakenya wapo huku wamekuja kununua ardhi na kujishughulisha na kilimo na wengine wanafanya biashara ya mazao kuleta Kenya, ni zaidi ya 4M actually.