Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
BRT husaidia nini Dar!?Mombasa marina haijaisha ujenzi mwaka wa 20 huu!
BRT husaidia nini Dar!?Mombasa marina haijaisha ujenzi mwaka wa 20 huu!
Watoto wadogo wa miaka 3 wanapenda hizi picha.Unaitakia nini!?
View attachment 3263968
Operation okoa Sufuria …🤣🤣🤣Leta operation Moja kama hio ya Jwtz kule congo 😂😂😂😂
Dunia yote inajua KDF = Kenya Drinking ForceOperation okoa Sufuria …🤣🤣🤣
Nyuma ya haya majengo kuna slums, unabisha?
Hapa ni Mbagala na BRTya mbagali bado haijanza kufanya kazi.BRT husaidia nini Dar!?
View attachment 3263975
Huku si mbagala Rangi Tatu alikoimba mondi?BRT husaidia nini Dar!?
View attachment 3263975
Police with no action. Poor Kenya
Hakuna slum karibu na Upperhill, tunajua unataka kutuonyesha ile picha Kibera na Upperhill kwa background. Pole sana Kibera does not border Upperhill.Nyuma ya haya majengo kuna slums, unabisha?
Sio kila jeshi ni dhaifu kama Jwtz waliofukuzwa Congo na vibaka 😂😂😂Wazee wa selfie alafu operation zero.
Tulikuwa tunaambiwa ati wanalima ngano!Hiv kenyans wameshindwa kulima hata mihogo? Cassava?
Mambo mengine ni aibu
So that was your research?… try again in Google Swahili ..🤣🤣🤣Afrika yote inajua, Kenya is a neo colon of USA. Everything in Kenya is Kwa Msaada wa Watu wa Marekani
Is not just a research, is a naked truth.So that was your research?… try again in Google Swahili ..🤣🤣🤣