babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,309
- 35,744
Kitu watu hawaelewi kuna mikopo ikitolewa huwa mtoa mkopo anakuchagulia hadi mkandarasi.Ndugu, hayo makampuni ya serikali yamefanya project ipi kubwa ya mfano hadi tuwaweke mezani kwamba wanaweza?
Kuna kampuni yenye viwango vya Estim hapa ndani? Kwa ukubwa wa hiyo miradi sidhani kama kuna kampuni ya ndani hapa itakayoweza. Zaidi sana watapewa kazi na wao wauze kandarasi kwa kampuni kubwa za nje. Hii ni kuongeza gharama maradufu na kupoteza muda tu.