Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mvuta gundi mmoja anasema eti manzi ni neno linalo trend Tz, sisi huku hatutumii hilo neno na unaweza ukalitumia na watu wakakushangaa, huku tunatumia PISI kumaanisha demu.
 
So leo hii mnakana kwamba DRC hawatumii bandari ya Dar? Haya basi tuonyesheni hiyo gari ikiendeshwa Tanzania ama ikiwa delivered to the owner.
Hivi unajua logistic ya kutoka eastern DRC kwenda Kinshasa? Eastern DRC wanatumia Dar port ila si Kinshasa!
 
Hivi unajua logistic ya kutoka eastern DRC kwenda Kinshasa? Eastrn DRC wanatumia Dar port ila si Kinshasa!
Hiyo Tesla Cybertruck ni ya DRC. Kama unapinga Ebu tuonyeshe picha when itโ€™s outside the port but within Tanzanian borders.
 
Acha ushamba wewe fala...

Kama gari ni ya Transit to Congo mbona wameitoa ndani ya Container? Huoni hapo iko under customs verifications?
Goods zote ukaguliwa kwa ports for verification before final destination. Wewe ndio mshamba hapa kuliko wote.
 
I told you Tanzanian army is the weakest army in Africa. Yani majamaa wamepigwa vita wakakimbilia Rwandwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜….

Sasa wanakaguliwa kwa border kama wezi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tanzania army ata SADC nzima has not been battle hardened ... they have faced weak adversaries na bado wanashindwa
 
Sasa hapa ni Kenya.? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ and how do we know if itโ€™s his Car or something.? Mvuta mabange kakuta gari ya wenyewe ime park, then he asked for some showbiz photos.
anatuona watu wote humu ndani wajinga kama wao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

yani hawa jamaa sijui uongo unawasaidia nn aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ