Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee KichwaNgumu254 your so wrong, antonov hizi ndogo ndogo zatua sana JNIA kwa mission za UN as you know TZ inavyoshiriki missions za UN, ila mwaka 2011 tulitembelewa na the beast, ndege kubwa zaidi ya mizigo Antonov 225 ilikuwa yaleta zile jenereta za umeme za Richmond, so kusema eti hivyo vi antonov vilivyotua hapo JKIA kuwa haviwezi tua popote endeleeni kujidanganya

Antonov-225
 
SGR Kenya...wengine wanapambana na vumbi kule msituni wakitafta routes😀😀😀


 
Nipende tu kukuonya sifa za kashata (Kenyatta) usimpe Magu.. Magu hana ahadi hewa[emoji23][emoji23] akisema tu the next sec mambo yanaanza kufanyika


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…