Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa anajifanya tough kwa keyboard yet ni beta male. Uneducated, beard less, poor, fugly and skinny πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
This guy predicted it 3yrs ago about Bien and Sauti sol.


View: https://x.com/Dr_AustinOmondi/status/1895327637721256047
Mimi nlikuwa nawaambia hii kitu kila siku hapa kwamba hakuna levels za Bien Tanzania πŸ˜‚
Kuna msanii kumshinda Bien Baraza hapa EAC?
 
Sielewi ni kwnn anapoteza muda wake kubishana na machawa, mpaka sasa anatoka nje ya reli. Hayo ni machawa anatakiwa aachane nayo, yanapost tweet inayosifia eti Rais kajaza uwanja, aiseee!!! Huyo ni mtu wa ku engage naye kweli?
Ndugu yangu ichoboy01 uwa anafeli hapo,ile kujibishana na yule chawa ni kama anampa airtime azidishe uchawa wake humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…