Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Uko sahihi.. NEST kuna tender kibao... Na mara nyingi kandarasi nyingi za serikalini huwa wana Ongeza bei kutokana na utaratibu wa malipo ulivyo. Pia wakati mwingine kuna kuwa na variations ambazo zina pelekea gharama za mradi kuongezeka.

Kuhusu ishu ya Kariakoo na hizo kamera ofisi ya Mkurugenzi Jiji ilishatoa ufafanuzi. Sio kamera 40 pekee za Kko ndio zita gharimu hiyo milioni 500+ hiyo hela ni jumla ya fedha zote za kufunga kamera CBD plus Kkoo... Hapo ni kamera na control rooms zake na facilities zote kama nyaya, kompyuta na installations fee.

Project ni kamera kwa CBD Yote na Kkoo ikiwepo, na gharama ndio hiyo 514m.
 
Mimi mpaka Leo sijaona Yale mabehewa ya ghorofa used tuliyonunua mwaka 2019 kwa cash
 
Kwani rush hour public transport ikoje Nairobi? What I know in most cities rush hour buses/trains/trams are crammed and its understandable.
In Nairobi people don’t have to help themselves in through the windows though
 
In Nairobi people don’t have to help themselves in through the windows though
Did that photo show anyone going through the window? Eti in Nairobi...wtf is Nairobi? Have you seen Dubai metro during rush hour? Or London underground or Tokyo metro during rush hour? We ain't talking about Matatu here
 
Did that photo show anyone going through the window?
You asked how does rush-hour in Nairobi compare, that aspect doesn’t have to be seen in the picture I posted. Anyway, is it a misconstrued statement?
 
I hope you no longer compare this to Mombasa.. 🤣.. btw .. too many trees 🌲 in Mwanza( lovely), but it’s ironic how you are anti trees for Nairobi.. nyinyi hamna msimamo … you blow with the wind..😁
Mombasa inaizidi mwanza vigorofa kadhaa tu. Otherwise Mwanza looks better than hiyo old town.

Again miji zote za Tanzania zipo green sana, many places in Dar also are very green.

Kuhusu greenery Tz iko mbele sana. Miji za kaskazini ndio balaa. Kuanzia Tanga, Moshi na Arusha.
 
Hao ni wafanyakazi wa wa Huaxin cement, usipende kuingia mkenge wa hao wanaharakati.
Sielewi ni kwnn anapoteza muda wake kubishana na machawa, mpaka sasa anatoka nje ya reli. Hayo ni machawa anatakiwa aachane nayo, yanapost tweet inayosifia eti Rais kajaza uwanja, aiseee!!! Huyo ni mtu wa ku engage naye kweli?
 
Umesema tu Kasarani name written using seats wengine washawaka moto eti ooh, unasema this is the first in East Africa eti ooh we already did it in Amaan Stadium. Hawa majamaa inferiority complex itawaua. 😂 😂
Sasa kwani ni uongo? Tatizo hamna exposure, my mama is the best in cooking syndrome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…