Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,183
- 107,782
Kuna mjinga keshasema hivyo juu huko π€£π€£π€£π€£π€£Soon atakuja kuropoka ni the first in east and central......
unless unambie na utuaminishe kua vita tumeshinda so far ππππNishati safi ya kupikia champion ni Mama na Sasa ni ajenda ya Afrika
View attachment 3254309
Najua hizi habari zinakujmiza moto il utazoea tuu Hadi 2030 ππ
ndio ile ya camera 40 sawa na million 514?Hazitoshi sio sawa na hukuna kabisa.Hata hilo la kufunga security cameras na taa Kila Kona ya Nchi ni project ya SSH.
seriously vitu vya ajabu sana unampa mtu mtungi wa gas bure wakat gas yenyewe ya 6kg ni 25k πππππHio mitungi hao wananchi masikini wameenda kuiuza wala hawana mpango nayo.
Hiyo hiyondio ile ya camera 40 sawa na million 514?
ππππππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/p/DGOUm0DsmXo/?igsh=MTV1M2g1NG9rMDJ5Yw==
Iko bungeni over 20 yrs Sasa sijui inafanya nini huko Bungeni ππππunless unambie na utuaminishe kua vita tumeshinda so far ππππ
shida yetu sisi ni hatupendi kuambizana ukweli vita vya nishati na salama iko bungeni over 20 yrs now, hio gas na umeme tunayotaka iwe nishati mbadala
10k = 28units electricity
25k = 6kg of gas
kumbe inaendelea ambayo ilishaanzishwa ππππππUmeanza kujaa kwenye mfumo ππ
Wakati nawaambia miaka 6 ya Mwendazake imepotea Bure si mlikuwa mnabisha?
Hakunaalichofanya kwenye Barabara,Mikoa aliyoikita Ina vumbi Kwa JK Hadi anaondoka aliacha vile vile.
Sasa mama ameanza kazi rasmi ya ujenzi wa kulinganisha Barabara.
Huko Tanga Kuna miradi mikubwa 4.
1.Tanga-Bagamoyo
2.Handeni-Singida
3.Amani-Muheza
4.Soni-Bumbuli-Korongwe.
Kwa Samia n kazi sio porojo ππ
View: https://www.instagram.com/p/DGlTO34KhN8/?igsh=MWo0MWZrdGVrbWthNg==
πππππππ we mwenyewe unaona aibu ila ndio utafanyaje sasa wakat una pesa yako ya uchawaHiyo hiyo
na haijafanikiwa mpaka leo na bado inapigiwa promo tu za uchaguziπππIko bungeni over 20 yrs Sasa sijui inafanya nini huko Bungeni ππππView attachment 3254463
Aibu ya kitu gani?πππππππ we mwenyewe unaona aibu ila ndio utafanyaje sasa wakat una pesa yako ya uchawa
Kama haijafanikiwa hitungi ya Ruzuku imetoka wapi?na haijafanikiwa mpaka leo na bado inapigiwa promo tu za uchaguziπππ
alieipanua tanga port anajulikana na alifanya hvo kwa sababu maalumu ππ
Uwanja wa amani ndio ulianza ππΎKuna mjinga keshasema hivyo juu huko π€£π€£π€£π€£π€£
tuoneshe kua imefanikiwa kuondoa mkaa na kuni mjini tu kwanza achilia vijijini ππKama haijafanikiwa hitungi ya Ruzuku imetoka wapi?
View: https://www.instagram.com/p/DGoIqodsmEd/?igsh=MzdnZ3duNHJ0OWYz